Lisemwalo lipo aseeSure mkuu Kisendi kazi zimekuwa ngumu sana na ni za kujuana sana. Awali nilikuwa siamini suala la kujuana katika kupata kazi lakini kwa sasa nimeanza kuamini.
kama hawajakupgia hujafanikiwa!jaribu tena,isije ikawa za utumishi nafasi 5 mnaitwa 700
Da hii kali sana. Pia kikwazo kingine kinachofanya kazi kuwa ngumu ni baadhi ya watu walio na kazi tayari serikalini kuapply kazi tena na kushindana na watu ambao hawana kazi au ambao wanatafuta hata hicho kibarua.
Kwa kuwa wanakuwa na mtandao wa kufahamiana na watu wakiwa serikalini unakuta hawahangaiki kupata nafasi za kazi ukilinganisha na mtu ambaye ni jobless.
niaje?aisee mi wameniita kwenye oral wiki hi alhamic. nilipigiwa cmu wiki iliyopita. ila ndo cjajua wameita wangap!
Labda ndio wameanza kuita.
Wamekupigia lini?
niaje?aisee mi wameniita kwenye oral wiki hi alhamic. nilipigiwa cmu wiki iliyopita. ila ndo cjajua wameita wangap!
hivi kweli uhaba wa kazi ndo sababu za watu kunyanyaswa kiasi hiki? kwa nini waiite watu wachahce ili waachane na huu ujinga wa kila mbwembwe za interview?
Komaa tu hadi kieleweke,ila wananikela na wale ambao wapo kwenye system halufu wanaomba kaz tena.