Updates za NHC, COWASCO na SUMATRA

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Mwenye update jamani atusaidie, kwani sisi tu familia moja ktk jukwaa la wasaka ajira, asanteni
 
Kweli wadau siku nyingi zimepita. Halafu kuna Dawasa pia.
 
Duh aisee nazikumbuka hizo nafasi zao ni muda umepita sasa...pia TBS walitoa nao kimyaa
 
kuna watu hawatapata kazi kwa mtindo huu yaani unaandika cowasco ndio nn
ni coasco mkuu rekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…