..basi nikafika sehemu aliko mwenza wangu. Nikatonywa na wale mashushu kua yupo Bar flan anaburudika na huyo jamaa mwizi. Huyu ni mwizi mwingine sio profesa. Kiblazamen flan ivi. Nikafika pale bar hata sikuamin. Nikasubiria weee mpaka wakamaliza. Kisha wakaelekea kwenye gari...wakakaa kwa muda..dizain kama walikua wakinyonyana. Walivyoanza kuondoka nami sikubaki nyuma..nikawa nawafuatilia kwa boda boda. Nshajipigia viloba na value zangu jicho nyanya na full mihasira-leo ntampasua mtu nikijisemesha nafsini.
Wakakata kona..ghafla boda boda likaisha mafuta. Bodaman nampa buku 10 eti hana chenji...nikamkimbia. Full kulikimbiza lile gari....bahati mbaya...likanizidi mbio.
Basi nikarudi mpaka kwa mwenzawangu koz nilikua najua anapoishi. Nikalala mlangoni..nikamsubiri mpaka majira ya saa saba mchana. Akaja na swaga alikua semina Bagamoyo...u know...blah blah kibao. Nikamwambia its ok. Akafungua mlango...nikalala kupunguza uchovu na usingizi. Na yeye akalala...full kuchoka huku akikoloma.
Hatukula mchana...sikupikiwa mbwa mimi. Nikastuka saa 11 jion. Nikamstua tukaanza discussion. Akaanza kubisha na kuleta majibu ya oldi skuli. Aisee nilimpa mbata za kutosha...mpaka damu.....nikazama kwenye wallet yake...nikakuta laki 4..nikazikomba zote...nikaanza safari kurudi moro town. Jana nimesikia kalazwa hospital.
Nitaziweka picha zake hapa soon.