Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 960
Salaam!
Itakumbukwa jana tulipata taarifa yakuwa mwenyekiti Taifa Chadema leo majira ya saa sita mchana ataongea na Taifa kupitia Waandishi wa habari.
Sasa kwa kuthamini mkutano huo nikiwa miongoni mwa Mtanzania naomba kujuzwa kama huo mkutano ulifanyaka.
Nawasilisha.