Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Ni kuomba Mungu ila hali ni teteMkoa wa pwani pia hali ni hiyo maeneo ya mkuranga, mvua mwaka huu ni kidogo na zimekwisha mapema.
Kwa Alizeti, Bei ya gunia la debe saba ni shingapi kwa sasa na ni wapi?!Afadhali ya nyie kama mtavuna kidogo wengne kwenye mpunga tumekula za kichwa mazima aisee... alaf ndio bei ya mpunga kubwa hatar.
Ngoja tukanunue tu alzeti ili tufidie hasara japo nao mwaka huu wameanza na bei kubwa balaa.
😅😅😅Hizi Ndio thread za maana Sana ila Kwa kulogwa watanzania hutaona wakichangia
Mkuu kuna gunia la debe 7?Kwa Alizeti, Bei ya gunia la debe saba ni shingapi kwa sasa na ni wapi?!
Kwa alizeti debe saba ndiyo kilo 100. Chini ya hapo haifikiMkuu kuna gunia la debe 7?
Tujitahidi kilimo cha kumwagilia...kutegemea mawingu ni bettingMwaka huu umenifundisha kwamba, Kilimo hakihitaji Uweke makadirio makubwa ya mavuno
NimekusomaKwa alizeti debe saba ndiyo kilo 100. Chini ya hapo haifiki
Changamoto mashamba yenye miundombinu ya umwagiliaji yapo machache nchi hii na bei ya kukodi siyo rafikiTujitahidi kilimo cha kumwagilia...kutegemea mawingu ni betting
Point ya msingi sana hiyo.Ni kuomba Mungu ila hali ni tete
Umeona eenhh?!!.Hizi Ndio thread za maana Sana ila Kwa kulogwa watanzania hutaona wakichangia
Nilipo mimi kwa sasa alizeti ni 9000 debe ila mahindi wamekula za kichwaKwa Alizeti, Bei ya gunia la debe saba ni shingapi kwa sasa na ni wapi?!
Wilaya gani mkoa gani?!Nilipo mimi kwa sasa alizeti ni 9000 debe ila mahindi wamekula za kichwa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app