Wakuu naomba tupeane updates za uchaguzi uliofanyika leo kuwachagua wenyeviti wa mitaa. Katika sehemu niliyopo kulikuwa na nafasi sita, mpaka sasa matokeo ya sehemu nne tayari na zote zimechukuliwa na upinzani, hizi mbili bado tunasubiri matokeo.
Je, wewe hapo ulipo matokeo yapo vipi?
Je, wewe hapo ulipo matokeo yapo vipi?