B Bagamoyo Platinum Member Joined Jan 14, 2010 Posts 32,087 Reaction score 36,924 Jul 25, 2023 #21 bagamoyo said: Senior State Attorney - serikali imeamua kuondoa mapingamizi iliyoyaweka awali tarehe 20/07/2023 Ni hatua nzuri serikali kutochelewesha kusikilizwa kesi hii muhimu ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi Click to expand... 25 July 2023 Mbeya, Tanzania SERIKALI YAFUTA MAPINGAMIZI KESI YA BANDARI MBEYA, WAKILI BONIFACE MWABUKUSI ANENA..
bagamoyo said: Senior State Attorney - serikali imeamua kuondoa mapingamizi iliyoyaweka awali tarehe 20/07/2023 Ni hatua nzuri serikali kutochelewesha kusikilizwa kesi hii muhimu ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi Click to expand... 25 July 2023 Mbeya, Tanzania SERIKALI YAFUTA MAPINGAMIZI KESI YA BANDARI MBEYA, WAKILI BONIFACE MWABUKUSI ANENA..
S Sioni tatizo Member Joined Jul 12, 2023 Posts 96 Reaction score 125 Jul 25, 2023 #22 acheni mambo yakupinga serikali.
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,255 Reaction score 10,248 Jul 25, 2023 #23 FaizaFoxy said: Mawakili "wasomi" wa upande wa malalamiko washapigwa 3-0 mpaka sasa, kistaarabu kabisa. Kwi kwi kwi teh teh teh Click to expand... Kama nilivyokuchapa juzi kati
FaizaFoxy said: Mawakili "wasomi" wa upande wa malalamiko washapigwa 3-0 mpaka sasa, kistaarabu kabisa. Kwi kwi kwi teh teh teh Click to expand... Kama nilivyokuchapa juzi kati
SMART GHOST JF-Expert Member Joined Feb 3, 2020 Posts 2,656 Reaction score 10,419 Jul 26, 2023 #24 FaizaFoxy said: mdude nyagali Kuna wakili "Mpare" na "Mpale" au ndiyo shule ulienda kusomea ujinga? View attachment 2699060 Click to expand... Kama huko madrassa wangekua wanawafundisha vitu vya maana, basi ungejua kua jina la mtu huanza kuandikwa kwa herufi kubwa!
FaizaFoxy said: mdude nyagali Kuna wakili "Mpare" na "Mpale" au ndiyo shule ulienda kusomea ujinga? View attachment 2699060 Click to expand... Kama huko madrassa wangekua wanawafundisha vitu vya maana, basi ungejua kua jina la mtu huanza kuandikwa kwa herufi kubwa!
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,817 Jul 26, 2023 #25 SMART GHOST said: Kama huko madrassa wangekua wanawafundisha vitu vya maana, basi ungejua kua jina la mtu huanza kuandikwa kwa herufi kubwa! Click to expand... Ungeelimika japo kiduchu ungeelewa kuwa ndivyo alivyoandika mwenyewe, mimi nime-tag tu. Kwa uelewa wako nilivyokusoma, sidhani kama utanielewa.
SMART GHOST said: Kama huko madrassa wangekua wanawafundisha vitu vya maana, basi ungejua kua jina la mtu huanza kuandikwa kwa herufi kubwa! Click to expand... Ungeelimika japo kiduchu ungeelewa kuwa ndivyo alivyoandika mwenyewe, mimi nime-tag tu. Kwa uelewa wako nilivyokusoma, sidhani kama utanielewa.
B busar JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,070 Jul 26, 2023 #26 FaizaFoxy said: mdude nyagali Kuna wakili "Mpare" na "Mpale" au ndiyo shule ulienda kusomea ujinga? View attachment 2699060 Click to expand... Hahaaaaaaazs
FaizaFoxy said: mdude nyagali Kuna wakili "Mpare" na "Mpale" au ndiyo shule ulienda kusomea ujinga? View attachment 2699060 Click to expand... Hahaaaaaaazs
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,027 Reaction score 33,003 Jul 26, 2023 #27 ... Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app