Updates: Yanga vs Oljoro JKT

Updates: Yanga vs Oljoro JKT

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,506
Jamani Yanga ndio wameianza ligi sasa, wanaongoza 3-1 kipindi cha pili kinaendelea
 
Wameanza ligi wakati ligi inaliisha. Haya kombe lenu.
 
Huko hakuna tofauti na mgonjwa kuishi kwa matumaini ya kupona. Wacha waendelee kujipa matumaini.

wenzako wanasema moto wa ligi unazimika Mei 6, walikuwa wametereza tu bado hawajaanguka
 
Mechi finito! Yanga 4, JKT Oljoro 1. Wanadai kuwa bado SIMBA
 
Wafungaji wa Yanga kina nani?
 
Back
Top Bottom