Updates: Yanayojiri Wiki ya Uwekezaji Kagera Agosti 12-17, 2019

Updates: Yanayojiri Wiki ya Uwekezaji Kagera Agosti 12-17, 2019

ukiweka neno ''baadhi'' itapendeza sana. maana wanaojua namna ya kutafuta maisha wako huku. walionyuma ya keybord wako kwingine.

Kabisa mkuu mimi sii mzaliwa wa Kagera lakini 90% ya kipato changu chote kimetokea Muleba na Karagwe Ukweli yulionunua mashine za uvuvi tukazitupa muleba miaka ile na tukaanza kusafirisha mizigo kwenda malawi, zambia na Rwanda hakuna maskini kama alikua makini.
 
Na ukiona unaanza visa vya kutaja madhaifu ya unapokwenda kutafuta fahamu wewe sio mtafutaji bali ni mbabaishaji kama wengine
 
Mbona Hakuna uwekezaji? Biashara tu za kawaida wamehodhi wageni ubunifu mdogo tu wa biashara bukoba Hakuna ,hata mabasi tu mmeshindwa hadi Sisi wa kilimanjaro tukawaletea mabasi na ndege(Precision air)[emoji3][emoji3]
Halafu nimekumbuka.nini kimemkumba Princess muro?

Nilikwambia kuwa ndo amebaki na mabus mabovu hatimaye biashara imemshinda.

Sasa hiv dar lux,fikoshi,frester,falcon,nk nk ndo wametawala njia ya dar Bukoba
 
Ila Bukoba tuna tatizo la wenyeji kukubali kuachia ardhi. Swala la ardhi kazi ipo, hasa nikikumbuka manispaa kujitanua ilivyoleta kasheshe Katoma na maeneo mengine.
Ilo ni kweli Kwa sababu ya tamaduni hasa za maziko na urithi wa ardhi.

Ila bado kuna maeneo Bukoba munispality haijajaa bado kuna maeneo lukuki ya kujenga mahoteli hasa Kando ya ziwa ukizingatia utalii umefunguliwa kule burigi na karagwe hivyo Bukoba tayari inaanza kuonja umji wa kitalii pia
 
Ila Bukoba tuna tatizo la wenyeji kukubali kuachia ardhi. Swala la ardhi kazi ipo, hasa nikikumbuka manispaa kujitanua ilivyoleta kasheshe Katoma na maeneo mengine.
Mkuu hayo matatizo hamna tena, manispaa walishanyanganya watu maeneo na kuyapima. Sasa hivi kuna viwanja kwa ajili ya wafanyakazi unalipa kwa njia ya makato, pamoja na wasio wafanyakazi viwanja vipo vingi mno kwa bei ya kawaida. Form zipo benki ya Posta kwa wasio wafanyakazi na wafanyakazi zipo manispaa
 
kama mwendo ni kunyanganyana na mimi nikinunua nina uhakika gani sitanyanganywa ?
 
kama mwendo ni kunyanganyana na mimi nikinunua nina uhakika gani sitanyanganywa ?
Mkuu nimemaanisha waliokuwa wanashikilia maeneo makubwa ndani ya manispaa bila vielelezo vya kutosha na hawayaendelezi wanayafanya mashamba ndo wamepatwa na hilo jambo
 
Mkuu stend inaendelea ila kwa mwendo wa kinyonga naona wanakomaa na barabara za mitaa
Barabara za Mitaa za wap?
Vip Ile ya kule beach walishaijenga?

Ila wangeanza na stendi na katikati ya mji kuondoa vumbi Kwa kutengeneza pavings kama walivyofanya kashozi road na rwamishenye
 
Halafu nimekumbuka.nini kimemkumba Princess muro?

Nilikwambia kuwa ndo amebaki na mabus mabovu hatimaye biashara imemshinda.

Sasa hiv dar lux,fikoshi,frester,falcon,nk nk ndo wametawala njia ya dar Bukoba
Muro kahamisha route,kahamishia kusini vile vile kaskazn,Pia Ana ma biashara mengi Ana masheli mkuranga,kibaha,kisarawe,bahamoyo nk Pia Ana ma semi trailer ya kutosha
Bukoba_ dar tuna mangi Osaka Raha mkongwe wa njia hiyo Ana Basi za kutosha
 
Kuna wakati uwa nadhani kichwa chako kimejaa mavi
Hahaha sasa kipi Cha uongo,nyie wahaya mmekumbatia ardhi hamtaki wawekezaji nilikuwa muleba Kijiji fulan umeme ndio Kwanza unaingia sasa watu hawataki kutoa maeneo ili centers zijengwe Yan watu hawataki maendeleo
 
Bahati mbaya Bakhresa juice yake sio from natural fruits, ingekuwa anafanya hivyo, ingewezekana kuweka kiwanda huko kwa sababu matunda yapo
Kwann nyie Wana kagera msiwekeze wenyewe mpate faida kubwa?
 
Ndo umeandika nini sasa mkuu??? Kama umeleta ndege ina maana Wahaya wanapiga mishe nyingine wanapata hela wanapanda hizo ndege vinginevyo usingezileta
Namaanisha uwekezaji wa eneo uanze na wenyeji ndio maendeleo ya kweli
Huwez kukaa ukisubiri wawekezaji wakati fursa unaziona
Mfano kilimanjaro watu wa kule fursa zote zilizopo kule wamezichukua karibu zote ndio maana héla inabaki kule kule ni mfano huo
 
Back
Top Bottom