Sport: Alex Song returns from West Ham to Barcelona, but they don't need him. As of now it's not clear what is going to happen with him, and his contract runs until June 2017.
Mnasajili kimalengo ama kuikomoa Simba? Tuachieni basi na sie lol..
==================
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
BEKI wa Mtibwa Sugar, Andrew Vincent 'Dante'(pichani kushoto)amesaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC leo hii.
Vincent, mmoja wa mabeki wa kati waliofanya vizuri msimu huu amesaini muda mfupi baada ya kusiani kipa wa Prisons, Beno Kakolanya leo.
Dante sasa anakwenda kupambana kugombea namba dhidi ya mabeki wengine wa kati wa Yanga, Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro', Kevin Yondan, Pato Ngonyani na Mtogo Vincent Bossou.
Kakolanya pia amesaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na wafalme hao wa soka ya Tanzania, Yanga SC, jambo ambalo ni pigo kwa mahasimu, Simba SC waliokuwa wanamtaka kipa huyo.
Kakolanya anakwenda kuungana na makipa watatu waliopo Yanga, Deo Munishi ‘Dida’, Ally Mustafa ‘Barthez’ na Benedicto Tinocco kufanya idadi ya makipa wanne.
Hata hivyo, mustakabali wa Tinocco haueleweki sasa baada ya kusajiliwa kwa Kakolanya mwenye umri wa miaka 22, ambaye Prisons ilimuibua Mbaspo Academy.
Kama kkuna timu zinapitaga kwenye msukosuko wa usajili barani ulaya ni BvB na Southampton. Kila wakijaribu kujenga vikosi vyao, vinatokea vilabu vinabomoa. Ref Gotze, Lewandovsky, Hummel kwa dotmund. Soton ndio ilipita kwenye kipindi kigumu sana. Waliuza wachezaji 6 waliokuwa kikosi cha kwanza mpaka kocha. Kwa sasa wapo tena kwenye msukosuko. Kocha wao Everton wanamtolea macho. Na tayari wameshamtamanisha. Atakuwa analipwa pesa nyingi kuliko hata mou!

Hawa jamaa wanafanya biashara wanuza mchezaji bei kubwa wananunua replacement kwa bei ndogo japo replacement yenyewe haiwezi kuziba pengo moja kwa moja,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.