Z ZIMBOO Member Joined Apr 6, 2012 Posts 23 Reaction score 1 May 6, 2012 #121 wanasport mtujuze huko National stadium vp
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,972 Reaction score 2,042 May 6, 2012 #122 Crashwise said: au mnabisha tuwatandike 5 Click to expand... Leo wataibuka wazee wengine....wachukue timu....
Crashwise said: au mnabisha tuwatandike 5 Click to expand... Leo wataibuka wazee wengine....wachukue timu....
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 May 6, 2012 #123 Crashwise said: au mnabisha tuwatandike 5 Click to expand... Hawawezi kubisha mkuu, jangwani leo lazima mafuriko yatokeee. Watadundanaaa.
Crashwise said: au mnabisha tuwatandike 5 Click to expand... Hawawezi kubisha mkuu, jangwani leo lazima mafuriko yatokeee. Watadundanaaa.
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 May 6, 2012 #124 Goooooooo..!!!! Aaaaaaah...!!! PENALT!
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #125 Simba tunapata Penati.
Pendael laizer JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 958 Reaction score 105 May 6, 2012 #126 Yanga imekuwa kama ccm aiseee
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 May 6, 2012 #127 Bao la NNE!
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,467 Reaction score 7,259 May 6, 2012 #128 Kaseja goli la 4
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #129 Kaseja goli lanne.
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 May 6, 2012 #130 Kasejaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 4.
B bob malya JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 292 Reaction score 131 May 6, 2012 #131 du yanga hali mbaya 4
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 May 6, 2012 #132 lutayega said: Mpira dk 90 subilini mtaona yanga wataibuka washindi mwisho wa mchezo Click to expand... Kwa yanga ipi ya kusbiri kuona ushindi mwisho wa mecchi?zaidi watachapwa bao la 3 na la 4
lutayega said: Mpira dk 90 subilini mtaona yanga wataibuka washindi mwisho wa mchezo Click to expand... Kwa yanga ipi ya kusbiri kuona ushindi mwisho wa mecchi?zaidi watachapwa bao la 3 na la 4
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 May 6, 2012 #133 lutayega said: Mpira dk 90 subilini mtaona yanga wataibuka washindi mwisho wa mchezo Click to expand... lkn nyota njema huonekana asubuhi..mpaka sasa mko nyuma kwa goli 4 dakika ya 70
lutayega said: Mpira dk 90 subilini mtaona yanga wataibuka washindi mwisho wa mchezo Click to expand... lkn nyota njema huonekana asubuhi..mpaka sasa mko nyuma kwa goli 4 dakika ya 70
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 May 6, 2012 #134 Simba rahaaaaaaaa....!!!!!! Simba piga WIKI hao Yanga! Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......!!!!!!!
Simba rahaaaaaaaa....!!!!!! Simba piga WIKI hao Yanga! Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......!!!!!!!
M Mughwira Senior Member Joined Jun 10, 2008 Posts 109 Reaction score 34 May 6, 2012 #135 simba 4 yanga 0
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 May 6, 2012 #136 Ubingwa bila kuwafunga Yanga haunogi.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,068 Reaction score 2,225 May 6, 2012 #137 hii ni hujuma ya wazee?
Pelekaroho JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 1,602 Reaction score 378 May 6, 2012 #138 Crashwise said: Simba nitaendelee kuwalaumu kwa kitendo cha kumwachia nurdin Bakari kwenda yanga..ni mchezaji mzuri sana na tangu aende yanga amekuwa akitusubua sana Click to expand... Simba 2-0 Yanga wakiwa na Nurdin Bakari na wengine 10
Crashwise said: Simba nitaendelee kuwalaumu kwa kitendo cha kumwachia nurdin Bakari kwenda yanga..ni mchezaji mzuri sana na tangu aende yanga amekuwa akitusubua sana Click to expand... Simba 2-0 Yanga wakiwa na Nurdin Bakari na wengine 10
Wazo Langu JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 1,381 Reaction score 842 May 6, 2012 #139 Yanga mbona mnatia huruma jamani, hata kututia kashkash kidogo....
O One Man Army JF-Expert Member Joined Dec 27, 2011 Posts 236 Reaction score 34 May 6, 2012 #140 hahahaha...yani kma play station vile..