Hapa mbeya hali ya hewa ni nzuri ikiambata na kiubaridi.
Kiukweli mechi hii haina msisimko tofauti na ile ya mbeya city na yanga,.
Mji bado umepoa na simba wakiwa bado wamejificha kusikojulika hata apa sokoine uwanjani kupasha misuli hawapo..
Ila uwanja wa sokoine upo vizuri na bado unapambwa.
Nani ni nani itajulikana kesho
Msisimko utoke wapi kwani hao Yanga. Hata mapato tusitegemee kama ingekuwa Yanga. Ukweli timu zilicheza na Yanga zinanufaika angalau mapato ya mlangoni.
Mnyama hayupo kapotelea kusiko julikana
Hakuna tetesi , wala fununu walipo simba, yale mapokezi waliyoyazoea hayapo tena Mbeya, harafu na nyie viongozi wa siasa chadema na ccm msituharibie hii timu huu sio wakati wenu wa kurudisha umaarufu kwa kupitia Mbeya city.
Msisimko utoke wapi kwani hao Yanga. Hata mapato tusitegemee kama ingekuwa Yanga. Ukweli timu zilicheza na Yanga zinanufaika angalau mapato ya mlangoni.[/QUOTE
Mkuu hawaeleweki walipo wengine wanasema eti kesho ndo wanakuja wamefikia zanzibar, afu wanasiasa hii ni fursa kwao adimu kujizolea maujiko
Msisimko utoke wapi kwani hao Yanga. Hata mapato tusitegemee kama ingekuwa Yanga. Ukweli timu zilicheza na Yanga zinanufaika angalau mapato ya mlangoni.
Yanga hoyeeeeee!!! Mbeya city lazima tushinde kesho.
Acha kutoa povu bw mdogo unafananisha ndondo na professional team
Acha kutoa povu bw mdogo unafananisha ndondo na professional team