Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi

Lindi.....
 

Attachments

  • 1435331534248.jpg
    38.1 KB · Views: 555
  • 1435331561011.jpg
    52.2 KB · Views: 520
  • 1435331602790.jpg
    42.6 KB · Views: 494
  • 1435331626832.jpg
    39.3 KB · Views: 480
  • 1435331642321.jpg
    42.3 KB · Views: 468

Sijui umekula maharage ya wapi wewe?
Huo ukabila ipo siku utakurudia.
 
MASSAWE- UNATOKEA MACHAME NA MACHAME ; NDO KWA MH MBOWE ----------- KAKUTUMA NA KUKUPA NAULI ILI UONE MAUMUVU MNAYOPATA CHADEMA,

WEWE UMEKUWA RIPOTER WETU ACT- WAZALENDO

SISI TUNAPENDA SANA MAADUI ZETU ; NDO WATOE TAARIFA;
ANDAA ADOBE MOVIE MAKER; KUWEKA KELELE ZA BAVICHA WAKATI MNA EDIT ILI IONEKANE KAZOMEWA KUMBE

MMEWEKA MTAA WA UFIPA.

http:/ /www.youtube.com/watch%3Fv%3DcqWStZMWAJA

Ndugu R.B nemejaribu kuandika yaliyojiri, kwa uwezo wangu mdogo wa kazi hii kwa faida ya walio mbali na Lindi...lakini umeleta kejeli na dharau nasema asante...ila wenzako wamepata taarifa...
Alafu unaleta ukabila na uchama ambao
hauna faida kwako na jamii kwa ujumla. Jirekebishe ndugu wajanja hawako hivyo
 
Nimehudhuria mikutano mitano ya Zitto tangu awe kiongozi wa ACT amekuwa akieleza hoja tu ila umekuwa ukifanyika upotoshaji eti anawatukana wapinzani wenzake. Zitto mtamuelewa tu polepole na mtamkubali.
 

Kwa kweli zzk ajaponda
Upinzani hata kidogo
 
Nimehudhuria mikutano mitano ya Zitto tangu awe kiongozi wa ACT amekuwa akieleza hoja tu ila umekuwa ukifanyika upotoshaji eti anawatukana wapinzani wenzake. Zitto mtamuelewa tu polepole na mtamkubali.

Tunakubali jana leo kabadilika ,ukweli unabaki kuwa mwanzo matendo na maneno yake yalimsababishia matatizo, uwe na akili huru ili upate afya njema -hii ya kusema hajawahi huna wa kumdanganya nimehudhuria a nimemsikia akikomaa kuponda kugawa watu nk. Nitaamini akitoka maeneo ya CUF akienda bara ndio nitajua kama ana nyongo ama nyongo imeisha
 
leo masaweeeeeeeeeeeeeeeeee anaripoti mkutano wa zitto? maajabu haya.
angalia tengeru wasijekukusikia.


 
Mambo ya kushambuliana kwa vyama vya upinzani sio mazuri na hayatajenga upinzani madhubuti. Zitto na chama chake wanajaribu kuja na aina mpya ya siasa za hoja na sio kelele au maandamano. Watu walio na hoja moja ya ufisadi kila mwaka bila kuwa na mpango au kupendekeza mfumo wa kuondokana na ufisadi ndio wanapiga kelele kwakuwa hawana cha kuwaambia watanzania.

ACT imejifunza kutokana na makosa ya vyama vingine kwa kutokuja na mfumo wa kukifanya kiwe chama cha matukio yaani kusubiri mzee wa nyoka ya makengeza apige ndio wapate cha kuongea.
 
Ukiwa mchanga kisiasa unaweza dhani kuwa chama kilichoanza jana kinaweza cheza ligi kuu na kupata matokeo
 

ACT sio chama cha upinzani acha kupotosha
 
Bramo ndo umeongea nini hapo? Inaonesha unajazba dhidi ya Zitto utakufa na presha mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Au ACT ni sehemu ya chama tawala kama ilivyo CUF huko Zanzibar ambayo mmefunganayo ndoa ya UKAWA?
 
Bramo ndo umeongea nini hapo? Inaonesha unajazba dhidi ya Zitto utakufa na presha mwaka huu.

ACT sio chama cha upinzani Mkuu.
Unless hujui nini sifa na Majukumu ya Opposition parties,nenda ka revise CIVICS yako ya kidato cha pili
 
Last edited by a moderator:
Bramo ndo umeongea nini hapo? Inaonesha unajazba dhidi ya Zitto utakufa na presha mwaka huu.

Shekhe wangu hii ni siasa hayo maneno yenu yanampa tabu kiongozi mkuu yanamjengea dosari inshallah tujirekebishe maalim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…