Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Naendelea kuleta picha.

Anazungumza sasa Mwenyekiti wa mkoa kamanda lulandala
 
Reactions: jme
Yani Ni Kazikazi, Hatulali Mpaka Ukombozi Umekamilika, Tunafukua Kila Kona Ya Nchi Dr Akianza Kazi Yeye Ni Kufrash Tu.
 
mkutano umeanza hapa njombe kwa watu kumiminika kwa kasi. Ila mgeni wetu rasmi salim mwalimu naibu katibu mkuu zanzibar bado hajafika. Ila kamanda rozi mayemba anawatambulisha makamanda mbalimbali.

Salim mwalimu ameingia sasa picha nitatuma

inatumia muda gani kupiga picha na kutuma
au mpaka adobephotosho itumike ; kuongeza watu wa leo na kampeni ya 2010

kama software aipo ni pm; niwatumie ; ataka watu walikuwa 100 ; wataonekana 17.000
 
kiukweli jamani lazima tuwe wakweli , huu ujio wa Salum Mwalimu ndani ya cdm umeleta chachu ya hatari sana !
 
inatumia muda gani kupiga picha na kutuma
au mpaka adobephotosho itumike ; kuongeza watu wa leo na kampeni ya 2010

kama software aipo ni pm; niwatumie ; ataka watu walikuwa 100 ; wataonekana 17.000
Watu wanasambaziwa upendo. Tulia Salum Mwalimu apulize dawa kwanza. Akimaliza picha tutatupiamo tu
 
Bawacha wako bize balaha, ni kila idara kila kurugenzi kila baraza ni moto.
 
Mkuu mtazamo mzuri huo

Bawacha wabuni namna ya kuwahamasisha wanawake

Ila lazima tukubali CDM sasa ni taasisi kubwa...hata Mwenyekiti wa Mtaa anaweza kufanya mkutano Mkubwa na watu wakawa wengi kumsikiliza
 
Otherwise dont expect any positive comment from Mkandara
 
Last edited by a moderator:
Hii picha gani tena? We gebwe tusiharibiane siku!

mkuu tumeambizana tangu jana kupitia ule uzi wa kamanda chakaza , kwamba mtu kama huyu usihangaike naye , akiona kimya mwenyewe atakimbia , wala huna haja ya kumjibu .
 
Kila la kheri makamanda picha muhimu sana ili ujumbe ufike kwa watanzania wengine
 
inatumia muda gani kupiga picha na kutuma
au mpaka adobephotosho itumike ; kuongeza watu wa leo na kampeni ya 2010

kama software aipo ni pm; niwatumie ; ataka watu walikuwa 100 ; wataonekana 17.000

kumbe ndio maana Act wanajaza nyomi!vp simiyu mlijisahau kutumia hio software?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…