Je RC DR. Nchimbi amearifiwa? asije akaleta police na mabumu wakatupiga
soma hapa
[h=2]
Msikieni naye Nchimbi mkuu wa mkoa wa DODOMA anavyotoa povu[/h]
RC: CHADEMA HAKINA HADHI
Wednesday, November 6 2013, 7 : 2
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Rehema Nchimbi, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hakina hadhi ya kuitwa mtani wa jadi dhidi ya chama tawala.
My take
Mara ngapi kazuia maandamano na mikutano ya CHADEMA kwa kutumia ukada wake, kila akisikia CHADEMA wanataka kufanya maandamano au mkutano tumbo linauma anaanza kuharisha.