Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Joto la maandamano kuelekea tar 29.10.2025 siku ya uchaguzi mkuu linazidi kupanda..
Yamebakia masaa machache kile kinachoendelea mitandaoni kithibitishwe kwa vitendo ama vinginevyo
Hii mada maalum ya matukio yote yatakayotokea kwa wale wote waliojiandaa kwa maandamano wasio tayari kushiriki uchaguzi mkuu.
Ni mada huru isiyoegemea upande wowote bali kutoa taarifa ya matukio yoyote yatakayotokana na maandamano