Zomba katumwa ku-counter hii thread!!! Hatukuogopi hata kidogo!!! Aliyekutuma kamwambie mission not successful. Watanzania wa jana si wa leo. Nitakujibu hadi kieleweke. Leta ngoma tucheze.
usitake ncheke teh teh teeeeeeeeeeeeeeee! usiniambie mkiumwa hamtafuti tiba. na kweli sijawahi kuwaona hospitali wala kwa waganga maana transit hampapendi. unajicontractijeeeeeeeeeee!
usitake ncheke teh teh
teeeeeeeeeeeeeeee! usiniambie mkiumwa hamtafuti tiba. na kweli sijawahi
kuwaona hospitali wala kwa waganga maana transit hampapendi.
unajicontractijeeeeeeeeeee!