Wana JF kuna mtu yeyote ambaye alifanya aptitude test pale Mlimani ya PPF position ya Operational trainee, mwenye updates zozote? Tunaomba atujuze tafadhal. Asanten
Wana JF kuna mtu yeyote ambaye alifanya aptitude test pale Mlimani ya PPF position ya Operational trainee, mwenye updates zozote? Tunaomba atujuze tafadhal. Asanten
Ajira Mpya zinapatikana katika ukurasa huu, kama bado huja like bofya hapa kisha like kupokea updates kila mara zinapo tangazwa: https://www.facebook.com/kijiwechawasomi
Wadau naombeni mnijuze ile Aptitude Test pale UDSM ya Operation Trainee ya PPF ni vipi maana naona kimya au ndio ukiona kimya watu wapo kazini wanapiga mzigo!!!mwenye kujua atueleze ni vipi vipi....