M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Mkuu Riwa, kwa vile watu humu tumehamanika sana na mgomo huu ili serikali ikomeleke, wanakufa na kuteseka na mgomo huu sio waserekali bali ni wananchi wenzangu na mimi!.
Alichosema mleta mada ni amewashuhudia madaktari hapo Muhimbili kwa macho yake na huduma zinaendelea!. Sasa hizi taarifa ni madaktari wa wapi na hawapati ushirikiano, hayo ni mengineyo, la msingi madaktari wapo na wanatoa huduma!. Sasa kila hoja msizopenda kuziita ni propaganda sio haki kwenye serious issue kama kutumia roho na life za watu masikini wa kutupwa kama bargain proin ya kudai maslahi bora!.
Serikali imefanikiwa ku defuse huu mgomo na at the end of the day kutakuwa na winners na loosers, madaktari wata loose lakini the biggest loosers ni wale waliolipia kwa roho na maisha yao kwa ajili ya upuuzi wa wachochezi wachache na serikali jeuri na kiburi isiyokubali kuwanyenyekea walioshika mpini wa roho za Watanzania!.
have i just seen neno "serious" kutoka kwa pasco? i will be damned!
au id yake imevamiwa?