Updates kutoka Advans Bank Tanzania na UTT Microfinance Plc

Updates kutoka Advans Bank Tanzania na UTT Microfinance Plc

Advans bank nilisikia kuwa wameitwa kwenye interview jumamosi tarehe 19, sasa sijajua kama wameita wote au bado wataita tena.
 
Advans interview ya dar tayari,written ilikuwa jmos tar 19,and oral imefanyika jana..I was there,nasubiri majibu tu sasa!but kutakuwa na other interview kwa waliopo mbeya jmos itakuwa written..wakimaliza,wataungana na watu wa dar for 2 months training!
 
Salaam kwenu.

Tafadhari naomba mwenye taarifa juu ya nafasi walizotangaza hawa jamaa (CLIENT OFFICERS @Advans Bank Tanzania-Mbeya Branch na CREDIT/ASSISTANT CREDIT OFFICER-UTT Microfinance) anijuze kama wameshaanza kuita/wameshaita watu kwa ajili ya interview. Deadline ilikuwa tar.14 mwezi huu.

Thanks.
kaka bado sana endelea kusubili kila kitu kitawekwa hewani
 
Nami nahitaji kufahamu ila pia kama kuna mtu anaweza kunifanyia mpango wa kazi hapo Advancs Bank nitashukuru jamani lkn pia nitampa asilimia 3% ya mshahara wangu wa kwanza.....PM ME FOR MORE INFO(N)
 
Back
Top Bottom