Updates:Katuni ya LEO!

Je, kati ya hao wanne ni yupi mwenye Sera nzuri kwa Watanzania??


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuna hiyo njegele... ninaichukia..
 
For what? how?

he dared to say tukaze mkanda uchumi ukue.

imagine hapa tulipo tuliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania lkn leo hii hata mlemavu, mgonjwa na mzee wanakuwa taxed watu ambao permanent earning kwao ni shida ama haina uhakika kabisa.

kumtoza mtu sh 1000 kwenye simu wakati mtu huyu umesema unampa matibabu bure ni ujinga kabisa, kama ulimwona ni needy hadi ukampa msamaha wa matibabu sasa kwann leo umuone anastahili kulipa kodi kwa simu anayotumia?
 
Aah JK wewe ni noumer, ila sijasikia uende kule Togo, senegal benin guinea bissau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…