Updates kampeni za uchaguzi Arumeru East CCM v/s Chadema

halafu mimi huwa nakukubali sana kwa mambo ya picha mkuu! Hebu angusha kingine mwanangu ni-enjoy
Hii kitu unaikumbuka?
CRT-Cathode-Ray-Tube.jpg
 
Wakuu, niko Arumeru kikazi tangu kampeni zianze!

Tukiacha siasa uchwara CCM inahitaji nguvu za giza kushinda uchaguzi huu! Sina haja ya kuwaficha hii ndio hali halisi Jana nilipata taarifa za mkutano wa kampeni wa CCM uliokuwa ufanyike eneo moja maarufu kama barabara nne (4 ways) kata ya Nkoanrua, nilienda nikakuta watu watatu tu, baadae kidogo wakaongezeka na kufika saba, ilibidi mkutano uahirishwe! Nimeshuhudia sijaambiwa!

Juzi kulikuwa na mkutano wa CCM kata hiyo hiyo maeneo ya moivaro (sikuweza kufika) niliambiwa walifika watu wasiozidi 30, nikatajiwa kwa majina huku vijana wakiwa 12! Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo kama kawaida yakitolewa kwagari moja dogo likiwa limetanguliwa na pikipiki wakaenda eneo la soko la ndizi ulikofanyikia mkutano wa CDM jumapili iliopita. Walipofika tu, majira ya saa nne hivi, akina mama wafanyabiashara wa mbogamboga sokoni wakapiga ukunga wa wezi haoooo! mara ikaja gari ya polisi wakawahoji wakasema CCM wanakuja kutufanyia fujo sokoni na kutunyang'anya pesa zetu, tumewachoka hatuwataki. polisi waliishia kumchukua mama mmoja akatoe maelezo na kisha kurejea baada ya mda mfupi!

Hiyo ndio hali halisi! wadau msitegemee TBC1 na gazeti la uhuru kusoma upepo!

Pia mods naomba uwaelekeze kwa upendo madogo wanao-derive formula humu, bila shaka sio jukwaa lao. Si unajua tena madogo wako likizo! Aah shule nazo zifungue waishie zao!

Naomba kuwasilisha!

Lakini wasiseme wezi hao jamani, watawauwa hawa waganga njaa.
 
We kenge tu. Halafu umeaga nyumbani waano kuwa unaenda kazini. We mnywa mataputapu tu, kichwa kina nyama badala ya ubongo.
 
akili ya mleta thread hana tofauti na aliye anzisha mikoa mipya badala ya kufikiria maendeleo yeye katafutia jamaa zao ajira ..wananchi hawana maji ya uhakika na salama .
hio pesa ya kununua mashangingi ya hao watakao kula kodi zetu si bora wangevuta maji japo ya visima virefu na kuweka lami japo kilomita 3 hebu fikiri mapesa ya shangingi kibao kuanzia ma ocd ,rc, rpc, wakurugenzi katibu tawala mkoa na wilaya zote kali zaidi mkoa una wilaya mbili.
kwa anaye juwa aipe ushahidi wa mkuu wa wilaya au mkoa ambaye ameleta maendeleo au kubuni chochote zaidi ya kuamua kesi maofisini mwao
 
Ndio kaka hata mi nimeona sasa hivi cdm wanahaha wameanza kutumia gazeti lao kuwadanganya watz.mara watumie compyuta kuonyesha umati wa watu ilhali si kweli lakini jana ndo wametoa kali kwa kumsingizia mh.ngonyani.wamekwisha sasa wanahaha.ismail
 
jipe moyo kuwa ccm itashinda labda kwa kiuba na this time tumejipanga kuwakaba mwanzo mwisho just like tulivyofanya arusha mjini 2010, sasa hayo maneno kwamba ccm inadalili za kushinda labda kwa njia ya miujiza, mgombea hata kujieleza hawezi mpaka kina mwingulu wamsaidi sasa kwa hili unasemaje Nassary amepoteza mvuto wakati yeye ndo kinara
 
Katika wiki ya pili ya kampeni uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru East vyama vya siasa vimeendelea kuwanadi wagombea wao kwa wapiga kura wa jimbo hilo. Hadi kufikia sasa CCM ndiyo chama pekee ambacho kimejihakikishia kushinda uchaguzi huo kupitia mgombea wake Sioi Sumari.

Chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) kinaomba huruma ya wananchi wa jimbo hilo angalau kipate japo kura 3500 ili kujenga imani kwa wafadhili wao wa nje ambao kwasasa wameanza kukipa mkono wa kwa heri baada ya kugundua chama hicho hakina uwezo wa kuongoza dola ya Tanzania.

Kutokana na Chadema kukosa mvuto na uungwaji mkono mashabiki na wapenzi wake wameanza kukosa updates za uhakika kutoka arumeru east kutokana na kushuku ama kupoteza umaarufu wa mgombea wao Mr Nassary kila kukicha. Chanzo kikubwa cha kudorora kwa kampeni hizo ni ukata unachokikabili chama cha Chadema na ufisadi wa ruzuku unaofanywa na viongozi wakuu wa chama hicho.

Kwapamoja tuiunge mkono CCM kuendelea kutawala nchi hii kwa maendeleo ya Watanzania na tuepukana na vibaraka wa ukoloni Chadema ambao wanafanya siasa kwa maslahi yao binafsi.

Kwa mwaka 2012 Wanaarumeru watakuwa wakwanza kuwakataa chadema na ukoloni mambo leo wao

Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake

Kwa jinsi ulivyoandika lazima nape anakunanihii.........aka siyo rizki
 
Wameona kuteka wanachama na viongozi wa CDM sio issue tena, wameamua kujipeleka kwenye kambi ya CDM kisha watengeneze uzushi kama wa mchawi maji mafupi.
 
Hapa nitakuwa nimeacha wengi sana.........................
ComplexIntegralMod_gr_20.gif
Ni kweli mkuu mimi hapo naona mauzauza tu. Nakupa changamoto, transform hiyo formula into real life ili si tu ikupe jina bali itoe matunda ya kweli ya mapinduzi ya kisayansi, ili uongeze soko la ajira na kukua kwa uchumi wa nchi yetu. Isiishie kwenye makaratasi na majibu ya mitihani.
 
akili ya mleta thread hana tofauti na aliye anzisha mikoa mipya badala ya kufikiria maendeleo yeye katafutia jamaa zao ajira ..wananchi hawana maji ya uhakika na salama .
hio pesa ya kununua mashangingi ya hao watakao kula kodi zetu si bora wangevuta maji japo ya visima virefu na kuweka lami japo kilomita 3 hebu fikiri mapesa ya shangingi kibao kuanzia ma ocd ,rc, rpc, wakurugenzi katibu tawala mkoa na wilaya zote kali zaidi mkoa una wilaya mbili.
kwa anaye juwa aipe ushahidi wa mkuu wa wilaya au mkoa ambaye ameleta maendeleo au kubuni chochote zaidi ya kuamua kesi maofisini mwao

Na kweli mkuu kuongeza mikoa ni kuongeza gharama lakini sijui kama hawa wakuu wetu wanaliona hilo !
 
Back
Top Bottom