Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
09 October 2025

Nimepata samasi / summons iliyotoka jeshi la polisi na kufika nyumbani kwetu Augustino Polepole

Jeshi la police Tanzania lamtaka Augustino Polepole kwa kumtaja afisa wa police aliye mkuu wa upelelezi kanda maal (ZCO)Dar es Salaam afande Mafwele.. Augustino Polepole alipokuwa anatoa taarifa za kutekwa Humphrey Polepole kwa umma wa watanzania na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake

Soma Pia: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Augustino Polepole anasema sasa atakuja na undani / details kuhusu jinsi jeshi la polisi walivyomkamata Humphrey Polepole, wapi ameumizwa na wapi alipo kwa hivi sasa Humphrey Polepole ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=AdN4o9MZ1uw

Sawa
 
FB_IMG_1759974854315.jpg
 
Tulipofika ili nchi irudishe imani na Taasisi muhimu kabisa ya Polisi tuombe tu usaidizi kutoka nje (ambao pande zote wataamini majibu) ili tumalize vizuri hizi sintofahamu zote zilizotokea na tuanze moja kwa kuaminiana...

09 October 2025

Nimepata samasi / summons iliyotoka jeshi la polisi na kufika nyumbani kwetu Augustino Polepole

Jeshi la police Tanzania lamtaka Augustino Polepole kwa kumtaja afisa wa police aliye mkuu wa upelelezi kanda maal (ZCO)Dar es Salaam afande Mafwele.. Augustino Polepole alipokuwa anatoa taarifa za kutekwa Humphrey Polepole kwa umma wa watanzania na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake

Soma Pia: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Augustino Polepole anasema sasa atakuja na undani / details kuhusu jinsi jeshi la polisi walivyomkamata Humphrey Polepole, wapi ameumizwa na wapi alipo kwa hivi sasa Humphrey Polepole ...

Kuna familia zimejaaliwa ujasiri hadi raha, kwenye koo zetu humu tuliowengi tungejikita kwenye sala, maombi na kulilia moyoni. Ila jamaa anaongea kwa tone ya kumaanisha sana.
 
09 October 2025

Nimepata samasi / summons iliyotoka jeshi la polisi na kufika nyumbani kwetu Augustino Polepole

Jeshi la police Tanzania lamtaka Augustino Polepole kwa kumtaja afisa wa police aliye mkuu wa upelelezi kanda maal (ZCO)Dar es Salaam afande Mafwele.. Augustino Polepole alipokuwa anatoa taarifa za kutekwa Humphrey Polepole kwa umma wa watanzania na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake

Soma Pia: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Augustino Polepole anasema sasa atakuja na undani / details kuhusu jinsi jeshi la polisi walivyomkamata Humphrey Polepole, wapi ameumizwa na wapi alipo kwa hivi sasa Humphrey Polepole ...

Kuna kitu cha msingi sana ameongea Augustino Polepole.

Kimsingi tatizo ni kwamba Tanzania hakuna chombo cha kuwasimamia Polisi.

Polisi wakifanya makosa, kabla ya kufika mahakamani, kunatakiwa kuwepo na chombo cha kusimamia Polisi wanavyofanya kazi.

Kuna mifano ya nchi nyingi wana vyombo hivi, mfano miwili ni Canada na hata karibu tu hapo Kenya.

Ndiyo maana Watanzania wanaweza kuwashangaa Polisi wa Kenya kwa nini wanakuwa na adabu sana mbele ya waandamanaji, kwa namna ambayo Polisi wa Tanzania hawana adabu hizo.

Kumbe kuna suala la systemic accountability.
 
Back
Top Bottom