Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Kimei ashindwa kutoa salam, ajawa na sauti yenye simanzi, machozi yamtoka.
Spika agoma kutoa salam, protokali haiguzingatiwa.
Manywele kama kawaida front desk, leo yuko beneti na makinda utadhani mkewe.
Tupo pamoja mkuu, endelea kutupatia updates, vipi white hair kakaa karibu na jeneza nini? si unajua mambo ya urais 2015.
Kiswahili halisi watoto wenu wanapooana mnaitana mkwe? Lowasa hakuonekana kwenye msiba wa mpendwa Regia. Kwa nini?Amekaa mbele. Kwake its more or less than what u are saying. Ni mkwe mwenziye.
Kiswahili halisi watoto wenu wanapooana mnaitana mkwe? Lowasa hakuonekana kwenye msiba wa mpendwa Regia. Kwa nini?
Kwenye red, inawezekana wakati anamwambia hivyo Dr.Slaa, alishaanza kuathirika ubongo. maana hiyo kauli si utamaduni wa Sumari
Sijui Nancy anafeel vipi na msiba huu.
Yaani uko msibani huku unatoa salamu za dhihaka,unajua ni watu wangapi wanasoma hapa?
Mbona watu mnakosa busara kiasi hicho hivi nani atapenda ajiunge na watu mliokosa utu kiasi hicho?
Halafu 2015 mnataka kura watu wenyewe hamna utu kiasi hicho.
Kumezuka jingine, mchungaji ameita kwaya waje kuimba wimbo alioupenda sana, sijui ni lini walimhoji hilo maana hata ndombolo alikuwa anazipenda sana. Namuona kwa mbali CAG Ludovick Utouh, pia naona Dk Kimei kapata ahueni sasa, kachangamka kidogo, nadhani jinsi muda unavyoenda ndio hangover inaishaisha, maana jamaa chapombe sana.
Edo aka mamvi naona habanduki kwenye jeneza, aisee urais ni noma. Malasula anatuaga, kutoka hapa kkkt msasani, nawaaga kwaherini.
Pangu Pakavu
Kiswahili halisi watoto wenu wanapooana mnaitana mkwe? Lowasa hakuonekana kwenye msiba wa mpendwa Regia. Kwa nini?