NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,020
Shida yangu sio comment shida yangu nikupata update za michongo Mzee Na sio Uzi huu tu ninao mwingine wenye michongo lukuki soon tu hata jf ntaacha kutumia Niko kwenye research nikipata ninachokitaka ntasepa Mzee comment ntauza wapiWewe Nyete 5 hours no comment kama vipi kafuge hao kuku mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida yangu sio comment shida yangu nikupata update za michongo Mzee Na sio Uzi huu tu ninao mwingine wenye michongo lukuki soon tu hata jf ntaacha kutumia Niko kwenye research nikipata ninachokitaka ntasepa Mzee comment ntauza wapi
Endelea kunisusa bajeti naipangia kazi nyingine maana imekosa mlajiSasa hiyo michongo unaipata pm au
Endelea kunisusa bajeti naipangia kazi nyingine maana imekosa mlaji
Uber ya nini bana tutapanda pundaHebu nitumie Nauli basi looh hiyo kuchoshana vipi nataka uber miyeeee
Uber ya nini bana tutapanda punda
Hatuwezi kuacha utamaduni wetuKwan tupo home jaman si tupo mjini saiv kunako maghorofaa
Hatuwezi kuacha utamaduni wetu
Usiwaze kwa hilo, wee jiandae tuSasa nitampata wapi huyo pundaa miyeee
Usiwaze kwa hilo, wee jiandae tu
Uber wa kiasili ndio mzuriMm sitak bhn sitak nataka uber
Uber wa kiasili ndio mzuri
Mtoa Mada we ni "hijo de puta "
Tafuta Na wewe wakuchat nae muendeleze zoezi la chatting hapa[emoji23][emoji23]Mtoa Mada we ni "hijo de puta "