Yaonekana Hata Wkt. Umeenda Ktk. Kufanyiwa Huo Usaili, Tayari Walishagundua Tatizo Lako! Kama Una Shida Ya Uandikaji Kiasi Hicho!! Basi Nadhani Hata Kuzungumza Tu Tatizo!! Ndio Maana Wameishia Kukutazama Tu!! Ilitosha Kumaliza Kazi!! Hiyo Fani Ni Ya Uhandishi Na Utangazaji!! Sasa Kama Hauko Vizuri Kiuandishi! Utafanyaje Hiyo Kazi?? Pole Sanaa Mdau! Badili Fani Mzazi!!!