Update ya siku ya mazoezi kitaifa leo tar 11 march

Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,235
2,505
Waungwana leo ni siku ya mazoezi kitaifa. Makamu wa rais mhe. Samia Suluhu Hassan alitangaza kwamba kila jumamosi ya pili ya mwezi ni siku ya kufanya mazoezi kitaifa. Agizo hili linaenda sambamba na lile la siku ya usafi kitaifa ambayo serikali ilisema ni kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.

Sasa kwa wale walio katika kutekeleza agizo la mheshimiwa tunaweza kupeana kinachojiri katika siku ya leo ya mazoezi ili kuboresha afya ya mwili na akili.

Makamu wa Rais: “Kila Jumamosi ya pili ya mwezi ni siku ya Mazoezi nchi nzima

Jumamosi ya Mwisho ya Kila Mwezi iwe siku ya kitaifa ya Usafi

Cc: Chakaza, Salary Slip, Lizaboni, Wakudadavuwa, Lupyeee.
 
Back
Top Bottom