huyo mtu anaonekana dhahiri ni agent wa shetani! hilo pete na huyo kahaba! mh! vinatishaaaaaaaaaaaaaa. Ukisikia kumshirikisha Mungu na shetani ndiko huku jamani. Halafu mwataka Mungu asikasirike?????????????? Mungu wetu alishaseme yeye ni Mungu mwenye wivu (hataki ushirika na muingu). Ukimwamini na kumtegemea yeye una haja gani ya mapepo? Au huyo mungu wako siyo The Almighty? Inawezekana.