Hivi mtandao ukisoma Edge 'E' ndio sawa na 2G?? Naomba kufahamuKinachoonekana kwenye picha ulioweka mbona hakihusiani na system update? Halafu pia kwa network ya 2G ni utata kidogo
Hivi mtandao ukisoma Edge 'E' ndio sawa na 2G?? Naomba kufahamu
Simu yangu system update yake imegoma. Inaniambia hivi .naombeni msaada jinsi ya kutatua shida hiiView attachment 1110855
Okey thanks mkuu.hapana...E maana yake mtandao upo taratibu sana