max 255
Member
- Jul 18, 2018
- 24
- 19
Habari zenu wakuu, hope mko poa..
Naomba niwafikishie taarifa hii, juu ya thread hiyo ambayo nliandika tarehe 14 Nov km ckosei...
Thread ilipokelewa kibinadamu ....maana yake kulkua na majbu ya aina zote, wengi walkua wanaotoa ushaur mzur lkn kuna bnadam wachache walotoa comment za ajabu ...eti MTU anakwambia RIP in advance dah cc wabongo bn..
KUNA WACHACHE walohisi ni story ya kutunga, km zlivo nyng tu humu JF (mnaelewa jmn chai zpo kbao humu)
NA KWELI WALKUA SAHIHI, ...Mimi ni upcoming filmmaker na hiyo ni story ambayo nlikua nataka kutengenezea SHORT FILM... Nkasema ngj nitest idea huku nione watu wataipokeaje...
Finally nmeifanya iyo short film inaitwa LOST HOPE na sasa inapatkn YouTube
Link hii hapa:
Jaman ahsanten kwa comment zenu wote, Ila MTU atakapokua na changamoto hz, tujtahd kumsaidia uwezavyo na kumpa matumain co kuponda km baadh walvofanya.
IT'S A LONG journey Ila tumejpanga kumake a BIG IMPACT and a difference ktk movie zetu hapa TZ ...
If U can network with us,...PM me, km ni mdau wa movies na filmmaking, kuanzia kuandika story, kuigiza, SFX makeups etc
MCHEZO NDO UMEANZA IVOOO
Cc: Max STUDIOZ & MAX FILMZ