UPDATE:Mkutano wa Tundu lissu majengo Moshi Mjini

UPDATE:Mkutano wa Tundu lissu majengo Moshi Mjini

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,379
Habari za leo marafiki zangu wapenda
mabadiliko niko moshi mjini kwenye kongamano
ya bavicha mh tindu lisu anatoa semina elekezi
namna ya kushinda maccm kwenye uchaguzi
mkuu October baada kongamano tutakuwa
na mkutano mkubwa majengo moshi mjini kwa
kweli lisu nijembe anatisha semina nzuri sana
nitaweka picha ya mkutano baadaye kidogo
nawapenda wote aluta continua Tanzania bila
ccm imawezekana kabisaaa ukawa ukawa ccm
hawaponi
 
Mkuu tunashukuru kwa juhudi za kueneza neno la ukombozi,mh lisu endelea kutema cheche kwa magamba na toa elimu tosha kwa wana moshi
 
Naona anajenga kwa watu huku kwake naona panabomoka
 
CDM kila kona, uzuri wa hichi CHAMA ni kuwa yyt anayesimama raia wanamkubali na kujazwa upako..........CDM NITAKUPENDA DAIMA.
 
Naona anajenga kwa watu huku kwake naona panabomoka
Usitufanye wajinga. Safari hii Lissu atapita bila kupingwa. Amefanya nyota yetu wanyaturu ing'ae kwa mng'ao wa kupendeza. Kuna wengine tangu wawe wabunge hawana mchango wowote sio bungeni wala kwa vyama vyao wala kwa taifa lao. Wanakaa kimya kama wagonjwa. Twajivunia Tundu wetu!
 
Mkuu wew ni mnyaturu wa wapi mbona haueleweki kila sehemu upo , dar ,mbeya , arusha...
 
Sasa hivi tunahitaji taarifa tu tuachane na picha ili magamba waendelee kuamini chadema imekufa, ili wafe kifo cha ghafla.
 
mbona siku hizi sion picha za mikutano? naanza kuwa na wasiwasi na hiki chama changu Kuwa hakipati mapokez ya kuridhisha huko mikoan
 
Habari za leo marafiki zangu wapenda
mabadiliko niko moshi mjini kwenye kongamano
ya bavicha mh tindu lisu anatoa semina elekezi
namna ya kushinda maccm kwenye uchaguzi
mkuu October baada kongamano tutakuwa
na mkutano mkubwa majengo moshi mjini kwa
kweli lisu nijembe anatisha semina nzuri sana
nitaweka picha ya mkutano baadaye kidogo
nawapenda wote aluta continua Tanzania bila
ccm imawezekana kabisaaa ukawa ukawa ccm
hawaponi

Kazi kweli kweli mpaka sasa tunaelekea saa tano hatuoni picha kama ulivyoahidi
 
Back
Top Bottom