Update: Mkutano wa Mbowe Shinyanga Mjini

POMPO

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
6,690
Reaction score
2,402
Wanaukumbi.,

Kamanda wa anga, Mh. Mbowe atakuwa na kikao cha ndani cha kanda ya seregenti na watia nia wote wa majimbo husika ya Shinyanga, Simiyu na Mara

Hakuna kulala hakuna kula kazi ya ukombozi inaendelea.

'People's
 
Watu makini kwa Kazi maarum ya kuchimbia shimo refu chama cha mafisi kipotelee mbali Kabisa katoka USO Wa Dunia
 
Mkuu shusha UPDATES tunakutegemea sana!!!
 
Mbowe hatakuwepo , yupo Naibu katibu mkuu , Salum Mwalimu rekebisha , Mbowe yuko Jimboni kwani kuna mafuriko makubwa hivyo yuko na wananchi wake .
 
Wanaukumbi.,

Kamanda wa anga, Mh. Mbowe atakuwa na kikao cha ndani cha kanda ya seregenti na watia nia wote wa majimbo husika ya Shinyanga, Simiyu na Mara

Hakuna kulala hakuna kula kazi ya ukombozi inaendelea.

'People's

mmmmh...hii sasa sifaaa!!inamaana wanataka
watu wafe na BP au???kila kona wao tu jamn UKAWA mtaniulia babu yanguuuuuuuuu naombeni msamahaa angalau apumzikee
 
Mbowe hatakuwepo , yupo Naibu katibu mkuu , Salum Mwalimu rekebisha , Mbowe yuko Jimboni kwani kuna mafuriko makubwa hivyo yuko na wananchi wake .

kasepa; siwalikuwepo mwezi uliopita;

CHEZEA SUMU YA ACT ;IMEBAKI ARUSHA TUNAKUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

WATURIA X 11999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999

ACT JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Ndio raha ya JF hata marehemu act natoka kuzimu eti kujipambanisha na chadema kwi kwa kwa
 
kasepa; siwalikuwepo mwezi uliopita;

CHEZEA SUMU YA ACT ;IMEBAKI ARUSHA TUNAKUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

WATURIA X 11999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999

ACT JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

hahahaha Arusha ipi unaizungumzia mkuu
 
Mbowe ni kama mafuriko ndani ya CCM hawataki hata kumsikia, wanajua madhara yake pindiki akitia timu mahali.
Salute kwa Mheshimiwa Mbowe najua shinyanga wapo mkao wa utayari kumsikia mzee wa Anga.
 
Back
Top Bottom