Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.

TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini

Karibuni
Tigo pesa na mpesa bado zipo mkuu??
 
OK nitafutie wateja huko nauza till zote NNE zina jina moja ili niongeze mtaji. Ni mpya kabisa hazijawahi tumika yaan yeye mnunuzi ndo anakuwa wa kuzivunja toka kwenye vibati na kubadili password
Mkuu Line Bado zipo
 
Nikiwa kama wakala wa E-money (Miamala ya pesa) nimeshuhudia mambo mengi sana ambayo nafikiri kwa kuyasimulia naweza nikawasaidia watu wengi sana especially mawakala wa hizi Mpesa,Tigopesa, AirtelMoney nk kuepuka utapeli ambao hufanywa na watu wenye nia mbaya. Natambua kwa wakala anayefanya kazi kwa kutegemea kamisheni let say ya laki 3 kwa mwezi unapotapeliwa let say laki 7 inauma sana na inaweza kukurudisha nyuma kimaendeleo. Zifuataza ni mbinu ambazo hutumiwa na matapeli kwenye hizi miamala.

Mbinu 1: Wakala unapokea ujumbe wa kupokea pesa mfano, "...imethibitishwa umepokea kiasi cha Tsh xxx kutoka kwa xxxx salio lako ni xxx" Wakati unashangaa nani katuma hiyo pesa (Kutoa) mara unapokea simu mara nyingi hujitambulisha kwamba wanatokea Mpesa, Tigopesa etc watakuuliza kama kuna pesa umeipokea imetumwa kimakosa na mtu hivyo wanaomba uirudishe, mara nyingi huwa wanajitahidi kukuwekea pressure sana wa vitisho vya kuifungia laini yako ili usipate wazo la kuangalia salio, Ukifanya kosa ukawasikiliza ukaituma hiyo pesa IMEKULA KWAKO.
Mara nyingi njia hii hufanyika kwa ushirikiano na wafanyakazi wa mitandao husikaambao husaidia kujua kiasi cha salio ulilonalo kwenye simu yako. Na katika hili tigopesa wanafanya sana.

Solution: Hakikisha unamhudumia mtu unayemuona mbele yako, Kama mtu akikosea kutuma pesa mtandao husika baada ya kukupigia simu wataikata iyo pesa na kuirudisha kwa mhusika na sio kukwambia wewe wakala uirudishe. Na hakikisha messeji yoyote ya muamala unayopokea kwenye simu yake imetoka M-Pesa, TigoPesa nk na sio kwenye namba flani ya simu.

Mbinu 2: Mtu anakuja anakuja anakupa simu yake anakuomba umtolee pesa, unamuuliza shilingi ngapi anakwambia hana ukakika, anakuomba umuangalizie salio, ukiuliza salio inakuomba password, unamuomba akupe password anakuomba simu ili aweke password alafu anakaa nayo akisubiri meseji ya salio iingie then anakupa iyo msg ya salio. Labda unaona msg "Imethibitishwa salio lako ni 590,000..." atakwambia umtolee labda lakin5 na Mara nyingi unapokuwa unafanya hayo huyo mtu anakuwa ana hali flani ya haraka sana na anakuwa anakuharakisha au ukute hiyo simu yake inaita mara kwa mara hivyo kukukatisha mara kwa mara kutoa pesa. Mara anatokea mtu either ana bodaboda au gari nje, Basi huyu mteja wako anakuulizaa, Kaka /dada ushatoa? unamjibu "bado, kuna watu wanakupigia hapa wananikatisha katisha sana" atakwambia, "Samahani dada/kaka naomba wakati unaendelea kutoa nipe hiyo hela nimpe huyu jamaa hapa nje ananisubiri kuna mgonjwa hapo tunampeleka hospitali" Kwakuwa unaona una simu yake ambayo umeona msg ina salio la kutosha na kweli umeona kuna mtu anamsubiri nje UKIMPA TU HIYO HELA UMELIWA, Anaondoka na simu atakuachia, ukiweka password aliyokupa itagoma, unakuta ka simu kwenyewe ni ka itel kapya ka 20,000.

Solution: Mbinu hii imewatapeli watu wengi sana pesa, hakikisha USIMPE MTEJA PESA KABLA HUJAPATA MSG YA KUCONFIRM KWENYE SIMU YAKO YA UWAKALA, NA PIA USIMPE MTU PESA KWA KUANGALIA MSG ALIYOIPATA YEYE KWENYE SIMU YAKE. Mteja anapokuja kwako kutoa hela akikuomba umtolee, akishakupa simu USIIMRUDISHIE MPAKA UMALIZE KUFANYA MUAMALA (Usimpe aweke password alafu akurudishie mwambie akutajie password na kama hataki mwambie atoe mwenyewe). Ukimpa simu aweke password ndo hutumia huo mwanya kuweka msg ya kuonyesha wana salio kwenye simu yao, Mpe mteja pesa pale tu unapopata confirmation kwenye simu yako.

Mbinu 3: Nipo arusha Nina ninamtumia jamaa yangu no za wakala aliyepo hapa ila jamaa yupo kigoma. Jamaa anatoa hela..msg inakuja kwa wakala....huyu wakala anadhani ni Mimi...na ninamtajia jina lililotuma....akishanipa noti tu......jamaa Wa kigoma analalamika kwamba amekosea no ya wakala....na wao wakiangalia wanaona ela IPO kigoma imetumwa kwa wakala Wa arusha.....wanairudisha.

Mbinu 4: Au anakuja MTU anabandika till no yake hapo kwako bila kujua Wateja kama 10 HV wote unawaambia hujaona msg....ohoooooo kitu imeenda pengine

Mbinu 5: Kuna ndugu yangu mmoja hivi ye aliibiwa kwa namna hii. Walikuja wateja wawili jioni karibia na kufunga biashara kuweka pesa kila mmoja kaja wa wakati wake waliweka kama laki tisa hivi alafu kaja mtu mwingine watatu akamuuliza kama anapesa ya kuweka jamaa akasema kaishiwa.
Mpaka kufikia mda huu jamaa jua anapesa cash kama milion na nusu ile laki tisa ya wajamaa wawili na ela zake zingine za kutwa mzima,huyu watatu yeye kaja kuhakikisha kama jamaa now hana pesa ya kutuma tena bali ana cash tupu. Alipofunga hesabu wakati anaenda kwake yupo njia za uchochoro akakutana na gari limepaki alipolifikia wakatoka watu wamejifunga usoni kininja wakamteka na kusepa nae mpaka walipoona panafaa wakampora pesa wakasepa jua wakati huo pesa walizo rushiwa washazitoa tayari.

Mdau Wa 1: Nyongeza usimruhusu mteja akupe hela uzihesabu then umrudishie kisha akazuga zuga akakurudishia tena umwekeee hapa hakikisha unahesabu tena pesa alizokupa.usimwamini mteja hata kidogo.mimi pia nina ofisi ya uwakala na nmb bahati mbaya hilo tukio limenitokea mwenyewe.nimeibiwa laki kwa mtindo huo.nikwamba utapomtumia salio palepale anahamisha na line anatupa.tuwe makini hizi biashara zenyewe hazina faida kivileee

Mdau Wa 2: Halafu njia nyingine jamaa anakupigia. Halafu anakuwa very smart, hana haraka. Anakupigia anakwambia yeye ni wakala wako mkuu. Kuna pesa wamekutumia hebu angalia salio. Kwanza anakwambia umtajie namba yako nyingine akupigie huko ili simu yenye line ya wakala iwe free. Ukishamtajia namba Zako anakupigia huko then anakwambia kuna salio limetumwa kwako na kukutaka ucheck salio. Ukichek unakuta salio ni lile lile lako. Then anakwambia bado halijaingia. Ndo anaanza kukupa process za kufuata ili salio jipya liingie. Hapo anakutajia namba kibao hata huwez gundua kwa haraka kuwa ni namba zake. Ukibugi tu unajikuta umehamisha salio lako lote kwake na inakuwa ishakula upande wako. Walishanipigia Mara mbili ila zote nilipangua. Mara ya kwanza nilishtukia mchezo hatua za mwisho nkakata simu. Second time wakapiga tena nkawatukana tu wakakata simu yao

Mbinu ziko nyingi ila hizi ndo hutumika zaidi na zingine wataongeza wadau.
Kweli

Ila changamoto zilizopo kwa sasa utapeli umekuwa mwingi sana

Tunahitaji kuwa makini
 
hi

hii aliitoa mdau humu ila nimeona niilete ili wengine waweze kuisoma
 
Habari zenu waheshimiwa.

Kuna mtu nimeona huko kwenye mitandao anauza line za kuwa wakala wa Airtel, Vodacom na Tigo. Anasema hazijatumika.

Kwa wenye ufahamu, mnadhani hii ndiyo njia bora ya kupata line? Pia kuna risk yoyote ya hizi line kuwa na madeni mfano huko TRA na mamlaka zingine?

Kiujumla naomba ushauri kama ni uamuzi wa busara kupata hizi line kwa njia hii badala ya kwenda moja kwa moja kwenye hayo makampuni ya simu (sijui urahisi wa wao kutoa hizo line sasa uko vipi).

Natanguliza shukrani.
 
As-salamu alaykum...kwa ufupi kufanya biashara ya ununuzi wa line kwa mtu ni njia bora na salama ingawa kizuri hakikosi kasoro kwa maana hii: Pindi unapoamua kufanya ununuzi wa line hizo sharti anayekuuzia awe ni muaminifu kweli kweli hata likitokea tatizo asisite kulitatua. Faida mojawapo ya kununua line kwa mtu, kunapunguza mzunguko na gharama kidogo tofauti na pale utakapoamua kwenda moja kwa moja kwenda kwenye kampuni husika maana jamaa wana masharti meengi wanayatoa kama vile mtu anaomba VISA. Lakini sasa gharama na hasara za kununua line kwa mtu ni pale tu unapouziwa line na mtu ambaye si muaminifu, narudia tena mtu ambaye si muaminifu atakuliza kilio cha mbwa koko maana line ikipata tatizo imekula kwako yani kama ni mtoto wa kiume basi utakuwa umeingia choo cha kike. Lakini pamoja na yote usiogope, wewe siyo wa kwanza...watu wengi wananunua hizi line mpaka leo zikiwa mpya au used, kama unahitaji karibu mkuu...nitumie ujumbe mfupi au nipigie kwa simu namba 0620686232.
 
Kwa wakala mkuu hakuna masharti yoyote zaidi ya
Tin number
Lesen ya biashara
Kopi ya kitambulisho
Passport size 2
Na mtaji wako bas.....

N.B LINE ZA UWAKALA NI BURE NA HAZIUZWI POPOTE PALE
 
Back
Top Bottom