Upatikanaji wa line za M-Pesa na Tigo pesa kama biashara ya madawa


L

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
278
Likes
14
Points
35
L

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
278 14 35
Heshima mbele wadau,
Hawa watu wa mitandao ya Tigo pamoja na M-Pesa wamefanya hizi laini zao za M-Pesa na Tigo Pesa kuwa kama biashara ya Madawa ya kulevya.
Ukifuata mfumo uliowekwa haupati katu abadani, itakuchukua hata mwaka kuzipata. Ni bora hata hao Tigo kidogo wana uhafadhali coz wanatumia mawakala ambao wana physical address kabisa.
Lakini hawa VodaCom ndo mama utaratibu wao ni mbovu. Hao mawakala hawajulikani wanapatikana wapi.
Nina miezi mitatu sasa toka nifanye hizo application za hizo laini. Mpaka nataka kughaili kufanya biashara hiyo, nifanye biashara nyengine.
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
27,173
Likes
14,648
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
27,173 14,648 280
njoo nikuuzie mkuu ninazo tigo pesa
 
L

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
278
Likes
14
Points
35
L

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
278 14 35
Ndo shida ilipo, ndg yangu Mulhat Mpunga nataka miahirishe kufanya hiyo biashara
 
mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Messages
1,081
Likes
516
Points
180
mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2014
1,081 516 180
Mimi kuna jamaa kaniambia kuna line za magumashi kama za mtaani nasikia ukinunua za mtaani yale malipo ya transactions mnagawana yaan kuna malipo yanaenda kwake na mengine unapata ww, lakini pia shida ipo ukifuata hatua kupata hizo line voda na tigo process ni ndefu mno na urasimu mkubwa sana wakati ni kitu cha siku moja tuu ila imekuwa biashara maana hyo bei unayolipia line ya M PESA ama TIGOPESA. Robo ya hyo hela ndo gharama halisi zingine zinapigwa tuu.... Voda na Tigo mnatuangusha tunataka kuwekeza tushilingi twetu humo lkn urasimu kibaoooo
 
mtafiti05

mtafiti05

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
967
Likes
586
Points
180
Age
48
mtafiti05

mtafiti05

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
967 586 180
Ninazo lain za m.pesa nichek tuongee biashara unaipata muda wwt utakao, no. 0765190024
 
B

bne

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
1,506
Likes
1,498
Points
280
B

bne

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
1,506 1,498 280
Ninazo lain za m.pesa nichek tuongee biashara unaipata muda wwt utakao, no. 0765190024
Hawa jamaa wanachofanya mkuu ni wezi wakutupwa. Inakuwa hivi unapo apply makao makuu huitoa hiyo line na kumpatia wakara akupatie lkn badala wa wakala kukupatia hiyoline wao huiuza kwa mtu yeyote wanao mtaka na kuchukua hela, Sasa wewe utendelea kufwatilia na wao wataendelea kukuzungusha tu. baadae yule aliyepewa line ya jina lako anaitwa na wakala kubadilisha jina na hapo mchezo huwa umeisha.
 
CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,599
Likes
672
Points
280
CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,599 672 280
Ukitaka kuucheza mziki wa laini ya Mpesa uipoteze ndio utaucheza vizuri. Itakutoka hela ndefu halafu kupata hiyo laini utasubiri sana.
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,049