Itel A51
Member
- Jun 4, 2020
- 57
- 110
Habari zenu wakuu?
Ningependa kufahamishwa kuhusu hili suala la upatikanaji wa kipimo cha mimba kwa njia ya mkojo kwa wanawake.
Hivi kinaweza patikana katika maduka ya dawa muhimu kwa binadamu au hadi hospitali? Kama ni madukan gharama zake zikoje?
Msaada wenu wakuu.