Upasuaji wa Goti

Upasuaji wa Goti

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
825
kwa wajuzi wa mambo haya, naomba kufahamu gharama za upasuaji wa goti kwa hapa Tanzania nilipata ajali kwenye mazoezi mpirani mwaka Jana ila tangia wakati huo goti langu halijarudi kama zamani

Maumivu kwa ndani, limeregea sio kama jingine, linatoa sauti kama vile mifupa inagusana nikitembea, nikiumia linajaa/kuvimba,mguu wote hauna nguvu kama zamani,

Nikiendesha baskeli au kukimbia nahisi maumivu nataka nifanyiwe operationSijui wapi pa kuanzia na wapi kwa kimaliziaMsaaada jamani.
 
Mkuu ilifanikiwa na hii issue yako if yes naomba ushare experience yako ya matibabu as in ulianza wapi till kukamilisha kupona coz na mie nimuanga wa knee injury kutoka kucollide na mchezaji wenzangu kwenye football
 
kwa wajuzi wa mambo haya, naomba kufahamu gharama za upasuaji wa goti kwa hapa Tanzania nilipata ajali kwenye mazoezi mpirani mwaka Jana ila tangia wakati huo goti langu halijarudi kama zamani

Maumivu kwa ndani, limeregea sio kama jingine, linatoa sauti kama vile mifupa inagusana nikitembea, nikiumia linajaa/kuvimba,mguu wote hauna nguvu kama zamani,

Nikiendesha baskeli au kukimbia nahisi maumivu nataka nifanyiwe operationSijui wapi pa kuanzia na wapi kwa kimaliziaMsaaada jamani.
Pole sana kuna DK specialist wa mifupa anaitwa DK faya alikuwa TMJ ukipmata huyo tatizo lako limekwisha ni mtaalamu wa mifupa aliwahi nitibu goti zamani alipokuwa Agha khan hospital. Nitatafuta number yake niiweke hapa.
 
kwa wajuzi wa mambo haya, naomba kufahamu gharama za upasuaji wa goti kwa hapa Tanzania nilipata ajali kwenye mazoezi mpirani mwaka Jana ila tangia wakati huo goti langu halijarudi kama zamani

Maumivu kwa ndani, limeregea sio kama jingine, linatoa sauti kama vile mifupa inagusana nikitembea, nikiumia linajaa/kuvimba,mguu wote hauna nguvu kama zamani,

Nikiendesha baskeli au kukimbia nahisi maumivu nataka nifanyiwe operationSijui wapi pa kuanzia na wapi kwa kimaliziaMsaaada jamani.

Kuna bwana Mdogo aliumia hivyo hivyo Kwenye mpira akafanyiwa operation aga Khan Kwa bima Tsh 13.000.000
 
Back
Top Bottom