Kaka uko vizuri sana.Mainjinia wa tz ni wapiga pesa tu hawana plan na hawawashauri vzr wanasiasa wetu.unakuta injinia ameaomea secondary sengerema chuo akaenda udsm ajira nyanza rd unadhani atakuja na lipi jipya kichwani kwake? Fly over wanaziona kwenye TV hajui hata zina umuhimu gani.Ukiwauliza utaambiwa ni garama sana kujenga flyover kumbe haina garama yoyote ukikinganusha na adha ya kulala kwenye foleni.Jamani tuisaidie nchi yetu kwa taluma zetu