kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Nov 26, 2012 #1 kweli hii kaunta imepangwa vizuri au nani anabisha?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Nov 26, 2012 #2 Mhhhh kweli kaunta inavutia :becky::becky::becky:
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 26, 2012 #3 Mkuu mbona bado mapema unatutia NDIMU?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Nov 26, 2012 #5 Amavubi said: Mkuu mbona bado mapema unatutia NDIMU? Click to expand... Amavubi umeona hiyo kaunta ilivyopangwa vizuri!!!!!!!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi said: Mkuu mbona bado mapema unatutia NDIMU? Click to expand... Amavubi umeona hiyo kaunta ilivyopangwa vizuri!!!!!!!!!!
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Nov 26, 2012 Thread starter #6 Amavubi said: Mkuu mbona bado mapema unatutia NDIMU? Click to expand... kwani wewe hujui kuwa kaunta hupangwa mapema?
Amavubi said: Mkuu mbona bado mapema unatutia NDIMU? Click to expand... kwani wewe hujui kuwa kaunta hupangwa mapema?
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Nov 26, 2012 Thread starter #7 Mr Rocky said: Amavubi umeona hiyo kaunta ilivyopangwa vizuri!!!!!!!!!! Click to expand... Amavubi yeye anaona pombe tu haoni jinsi kauna ilivyopangwa vizuri Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Amavubi umeona hiyo kaunta ilivyopangwa vizuri!!!!!!!!!! Click to expand... Amavubi yeye anaona pombe tu haoni jinsi kauna ilivyopangwa vizuri
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Nov 26, 2012 #8 kitalolo said: Amavubi yeye anaona pombe tu haoni jinsi kauna ilivyopangwa vizuri Click to expand... kitalolo huyo Amavubi yeye ameona bia tuu hajaona kaunta ilivyopendeza hapo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kitalolo said: Amavubi yeye anaona pombe tu haoni jinsi kauna ilivyopangwa vizuri Click to expand... kitalolo huyo Amavubi yeye ameona bia tuu hajaona kaunta ilivyopendeza hapo
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Nov 26, 2012 Thread starter #9 Mr Rocky said: kitalolo huyo Amavubi yeye ameona bia tuu hajaona kaunta ilivyopendeza hapo Click to expand... Hajui kuwa picha inaweza kusema maneno elfu moja? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: kitalolo huyo Amavubi yeye ameona bia tuu hajaona kaunta ilivyopendeza hapo Click to expand... Hajui kuwa picha inaweza kusema maneno elfu moja?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Nov 26, 2012 #10 kitalolo said: Hajui kuwa picha inaweza kusema maneno elfu moja? Click to expand... ndo hapo mkuu kitalolo hiyo hapo ina maneno zaidi ya elfu moja aise ila Amavubi hajaona Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kitalolo said: Hajui kuwa picha inaweza kusema maneno elfu moja? Click to expand... ndo hapo mkuu kitalolo hiyo hapo ina maneno zaidi ya elfu moja aise ila Amavubi hajaona
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 26, 2012 #11 Mr Rocky said: Amavubi umeona hiyo kaunta ilivyopangwa vizuri!!!!!!!!!! Click to expand... wataalamu wanasema kinachoona ni akili si macho, hapo akili yangu imekimbilia kwenye rangirangi za maji
Mr Rocky said: Amavubi umeona hiyo kaunta ilivyopangwa vizuri!!!!!!!!!! Click to expand... wataalamu wanasema kinachoona ni akili si macho, hapo akili yangu imekimbilia kwenye rangirangi za maji
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 26, 2012 #12 hapo lengo la kaunta si kuvutia uzuri wa mbwa bali wala mbwa Mr Rocky said: kitalolo huyo Amavubi yeye ameona bia tuu hajaona kaunta ilivyopendeza hapo Click to expand...
hapo lengo la kaunta si kuvutia uzuri wa mbwa bali wala mbwa Mr Rocky said: kitalolo huyo Amavubi yeye ameona bia tuu hajaona kaunta ilivyopendeza hapo Click to expand...
W wampinda Member Joined Sep 4, 2012 Posts 11 Reaction score 4 Nov 26, 2012 #13 Wenye hizo glass wangekuwepo acha tu!!!
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Nov 26, 2012 #14 Amavubi said: wataalamu wanasema kinachoona ni akili si macho, hapo akili yangu imekimbilia kwenye rangirangi za maji Click to expand... hahahaha mkuu Amavubi hebu kwepesa macho kwenye hiyo kaunta utaona na mengine zaidi ya hizo rangi rangi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi said: wataalamu wanasema kinachoona ni akili si macho, hapo akili yangu imekimbilia kwenye rangirangi za maji Click to expand... hahahaha mkuu Amavubi hebu kwepesa macho kwenye hiyo kaunta utaona na mengine zaidi ya hizo rangi rangi
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Nov 26, 2012 Thread starter #15 Amavubi said: hapo lengo la kaunta si kuvutia uzuri wa mbwa bali wala mbwa Click to expand... walah bilah
Amavubi said: hapo lengo la kaunta si kuvutia uzuri wa mbwa bali wala mbwa Click to expand... walah bilah
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Nov 26, 2012 #16 Amavubi said: hapo lengo la kaunta si kuvutia uzuri wa mbwa bali wala mbwa Click to expand... na raia wala mbwa wanavutiwa zaidi na huo uzuri wa kaunta
Amavubi said: hapo lengo la kaunta si kuvutia uzuri wa mbwa bali wala mbwa Click to expand... na raia wala mbwa wanavutiwa zaidi na huo uzuri wa kaunta
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 26, 2012 #17 kitalolo said: kwani wewe hujui kuwa kaunta hupangwa mapema? Click to expand... Kaunta huoangwa mapema dhahiri, lakini Baa Hufunguliwa Jioni.....................ikesha kwa kila jambo kuna majira na wakati wake
kitalolo said: kwani wewe hujui kuwa kaunta hupangwa mapema? Click to expand... Kaunta huoangwa mapema dhahiri, lakini Baa Hufunguliwa Jioni.....................ikesha kwa kila jambo kuna majira na wakati wake
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 26, 2012 #18 Mr Rocky said: hahahaha mkuu Amavubi hebu kwepesa macho kwenye hiyo kaunta utaona na mengine zaidi pengine ya hizo rangi rangi Click to expand... Hebu niitanue nione zaidi
Mr Rocky said: hahahaha mkuu Amavubi hebu kwepesa macho kwenye hiyo kaunta utaona na mengine zaidi pengine ya hizo rangi rangi Click to expand... Hebu niitanue nione zaidi
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Nov 26, 2012 Thread starter #19 Mr Rocky said: hahahaha mkuu Amavubi hebu kwepesa macho kwenye hiyo kaunta utaona na mengine zaidi ya hizo rangi rangi Click to expand... mwache Amavubi is Unable to distinguish one or more chromatic colours Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: hahahaha mkuu Amavubi hebu kwepesa macho kwenye hiyo kaunta utaona na mengine zaidi ya hizo rangi rangi Click to expand... mwache Amavubi is Unable to distinguish one or more chromatic colours