mwamini sr Member May 30, 2016 27 2 Jun 26, 2016 #1 Hivi jaman mwalichukuliaje hil la grade za advance A kuanzia 80-100 na O-level kuanzia 75-100 Toa maon yko
Hivi jaman mwalichukuliaje hil la grade za advance A kuanzia 80-100 na O-level kuanzia 75-100 Toa maon yko
terass Member Jun 25, 2016 14 1 Jun 27, 2016 #2 mwamini sr said: Hivi jaman mwalichukuliaje hil la grade za advance A kuanzia 80-100 na O-level kuanzia 75-100 Toa maon yko Click to expand... mtoto wa BRN lazima ushangae,ila sie wakongwe wa ndalichako tuliizoea hiyo kitu cha kawaida sana
mwamini sr said: Hivi jaman mwalichukuliaje hil la grade za advance A kuanzia 80-100 na O-level kuanzia 75-100 Toa maon yko Click to expand... mtoto wa BRN lazima ushangae,ila sie wakongwe wa ndalichako tuliizoea hiyo kitu cha kawaida sana
B Bacary Superior JF-Expert Member Jul 3, 2014 3,722 1,511 Jun 27, 2016 #3 terass said: mtoto wa BRN lazima ushangae,ila sie wakongwe wa ndalichako tuliizoea hiyo kitu cha kawaida sana Click to expand... zaman adv ilikuwa rahic kupata one kwa zile alama zao bt sasa hv ukipata one kila somo upate 60% kama ukisoma kitandani kazi ipo
terass said: mtoto wa BRN lazima ushangae,ila sie wakongwe wa ndalichako tuliizoea hiyo kitu cha kawaida sana Click to expand... zaman adv ilikuwa rahic kupata one kwa zile alama zao bt sasa hv ukipata one kila somo upate 60% kama ukisoma kitandani kazi ipo
terass Member Jun 25, 2016 14 1 Jun 27, 2016 #4 Bacary Superior said: zaman adv ilikuwa rahic kupata one kwa zile alama zao bt sasa hv ukipata one kila somo upate 60% kama ukisoma kitandani kazi ipo Click to expand... acha kujidanganya wewe,utachekwa
Bacary Superior said: zaman adv ilikuwa rahic kupata one kwa zile alama zao bt sasa hv ukipata one kila somo upate 60% kama ukisoma kitandani kazi ipo Click to expand... acha kujidanganya wewe,utachekwa
B Bacary Superior JF-Expert Member Jul 3, 2014 3,722 1,511 Jun 27, 2016 #5 terass said: acha kujidanganya wewe,utachekwa Click to expand... hahaha kwan waliomaliza 4m 6 mwaka huu lazima uwe na 60 Ndio unapata division one wakati miaka ile 55 tu una one
terass said: acha kujidanganya wewe,utachekwa Click to expand... hahaha kwan waliomaliza 4m 6 mwaka huu lazima uwe na 60 Ndio unapata division one wakati miaka ile 55 tu una one