Upangaji wa matokeo kwa mitihani ya Kidato cha IV and VI

mwamini sr

Member
May 30, 2016
27
2
Hivi jaman mwalichukuliaje hil la grade za advance A kuanzia 80-100 na O-level kuanzia 75-100

Toa maon yko
 
mtoto wa BRN lazima ushangae,ila sie wakongwe wa ndalichako tuliizoea hiyo kitu cha kawaida sana
zaman adv ilikuwa rahic kupata one kwa zile alama zao bt sasa hv ukipata one kila somo upate 60% kama ukisoma kitandani kazi ipo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom