Kwani hata ukienda kusoma wanaongeza sh ngapi?Nilikuwa na mpango wa kusoma ili nipandishiwe mshahara lakin kwa hali hii.
Aaarghh! Siendi kusoma!
Kwani na wewe umo miongoni mwa watumishi 59 waliokusudiwa?Rais aliagiza watumishi takribani 59 elfu wapandishwe daraja kufikia mwezi wa 11 mwaka huu, na kuna barua ya katibu mkuu utumishi akiwaagiza maafisa utumishi warekebishe mishahara ya watu mwisho ilikuwa 30/11/2017,nilitegemea kuona mabadiliko yoyote kwenye mshahara wa mwezi wa 12 lakini hakuna nyongeza yoyote.
Mheshimiwa rais aliwadanganya watumishi.
Simo.Kwani na wewe umo miongoni mwa watumishi 59 waliokusudiwa?
Wewe ni Jembe LA uongoooWanaolalamika vyuma vimekaza walikuwa wapiga dili