dady Vanny
Member
- Apr 29, 2018
- 28
- 9
Asante kakaInategemeana na sehemu unayotaka kupanda hiyo miti. Kwa maana kila mti hukua vizuri kulingana na hali ya hewa ya ukanda husika.
Kwa mfano ukanda wa pwani na maeneo yanayopokea mvua za kutosha miti inayokua vizuri
Mitiki (red teak) miaka 15-20
Mitiki myeupe (white teak) miaka 8-10
Acacia mangium (mikesia/mizanzibari) miaka 7-10
Cedrella ( miherezi) miaka 10.
Thamani ya soko hutofautiana kama nilivyoipanga
Ipo mkuu wasiliana nasi kupata miche kwa shilingi 500 tu.Kumbe kuna mitiki inayokomaa kwa miaka 8 - 10 ?
Hyo heka 1 nkivuna napata range ya how much na inakua kwa muda ganMkoa wa iringa wilayani mufindi
Utapata ekari 1,kati ya sh300,000-500,000
Miti inayokubali ni pines & mlingoti(gams).Kuhusu bei pines inabei kubwa kuliko mlingoti tatizo ukuaji wake ni taratibu..lkn mlingoti pia inakua haraka..kizuri zaidi ukipanda mala 1..wewe kazi yako itakuwa kuvuna tu
Hata moto uunguze miti hii huchipua tena
mkuu nikurejebishe hapo kwenye idadi ya miti.Mlingoti maxmum miaka 9
Pines miaka 8-10
Kumbuka itategemea na halijoto ya eneo ulilopanda
Kama kuna joto unawezavuna kwa miaka6.
Ekari 1 ya pine kitaalam inaingia miti600_900,bei yake huuzwa kati ya 30000-50000,kwa mti mmoja
Mlingoti ekari 1inaingia miti kati ya 1000-1200,
Bei ni shilingi 30000 kwa mti unaotosha nguzo