Lugombo Nsesi Senior Member Joined Jun 16, 2016 Posts 126 Reaction score 151 Dec 6, 2016 #1 Jamani naomba utaalamu wenu juu ya upandaji Shamba LA miti ya mbao. Inapandwa kwa interval gani mti hadi mti na mstari hadi mstari. Naombeni sana
Jamani naomba utaalamu wenu juu ya upandaji Shamba LA miti ya mbao. Inapandwa kwa interval gani mti hadi mti na mstari hadi mstari. Naombeni sana
King Mutesa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 227 Reaction score 140 Dec 6, 2016 #2 Inategemea lengo la miti na miti gani! Kwa nguzo za umeme mita 2 toka mti mpk mti