iloveguinness
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 176
- 90
We Mmakonde, andika kwa paragraph, unatathmini usomi wa wengine wakati we mwenyewe unaandika kama illiterate[/QUOTE
There is no need ,why should i ?
Naandika facts sio ,kutathmini.By the way ,hapa hakuna shindano la kuandika,just opinions.
I can tell i have good education ,than most of our MPs who have faked their education.
Inaonekana wewe ni mtoto wa mtu mwenye fake certificate.
punguza jazba bro mwaga facts.....hata hao ulio wataja reaction yao itakuwa kama yako..."i have good education than so and so"...yaani umeprove mkuki kwa nguruweeeeeee...........................................
Excellent, i agree with u, like this Aboud he is f4 failure, wapo f4 failure wengi bungeni,
hizo PhD za kununua like maandazi, why our UDSM isichukue hatua kwa hawa mabwana?
UDSM must act to see if they deserve & announce publicly these are fake PhD without worrying anybody, ili mtu akisomea PhD nje lazima chuo kiwe accredited by that country,
then mtu akija TZ lazima UDSM ithibitishe. We can see no dought how these fake vihiyo Dr poor performance, every sector, then they are MPs, this is horrible, terrible poor
leaders, hata uwaweke fani wanayodai waliyosomea performance inawasuta, totally
vihiyos, a best thing tunawajua, so ukiongea na MP or Dr yeyote unajua huyu nani,
na utaona akijikanyaga, all those u mentioned no one has sign of intellectuals, poor mind
Hii ndiyo shida ya Africans sina shida hata kama masters in ya miezi mitatu ila iwe kweli umeifanyia kazi.
sasa kama hata kiongozi hawezi kuongea kiingereza tena ana PHd jamani tujiulize..
Kuongea Kingereza sio kigezo kinachomfanya mtu kuwa na PhD au msomi. Kingereza ni Lugha kama lugha zingine. Sio kwamba ninamtetea huyo mwenye PhD feki ila kingereza kisiwe kigezo cha kumpima mtu uwezo wake wa kielimu.
Unaonekana kuwa na uchungu na nchi yako lakini kwa bahati mbaya unaweza pia kuwa mmoja wao maana kusema UDSM iweze kuhakiki vyeti vya waliosoma nje ya nchi mmmhhhh......napata taabu kidogo na uelewa wako mkulu!!
Excellent, i agree with u, like this Aboud he is f4 failure, wapo f4 failure wengi bungeni,
hizo PhD za kununua like maandazi, why our UDSM isichukue hatua kwa hawa mabwana?
UDSM must act to see if they deserve & announce publicly these are fake PhD without worrying anybody, ili mtu akisomea PhD nje lazima chuo kiwe accredited by that country,
then mtu akija TZ lazima UDSM ithibitishe. We can see no dought how these fake vihiyo Dr poor performance, every sector, then they are MPs, this is horrible, terrible poor
leaders, hata uwaweke fani wanayodai waliyosomea performance inawasuta, totally
vihiyos, a best thing tunawajua, so ukiongea na MP or Dr yeyote unajua huyu nani,
na utaona akijikanyaga, all those u mentioned no one has sign of intellectuals, poor mind
Hii ndiyo shida ya Africans sina shida hata kama masters in ya miezi mitatu ila iwe kweli umeifanyia kazi.
sasa kama hata kiongozi hawezi kuongea kiingereza tena ana PHd jamani tujiulize..
Kuongea Kingereza sio kigezo kinachomfanya mtu kuwa na PhD au msomi. Kingereza ni Lugha kama lugha zingine. Sio kwamba ninamtetea huyo mwenye PhD feki ila kingereza kisiwe kigezo cha kumpima mtu uwezo wake wa kielimu.
It is true OBI,but kama umechukua Phd yako RUSSIA tutegemee unazungumza Kirusi,the same applies ukisomea UK or USA tunategemea ni mnzuri wa lugha ,maana thesis yako ulitumia lugha ya Kiingereza.