luckypepeta
Member
- Dec 26, 2015
- 25
- 8
Mtumishi ana tatizo la kiafya anahamishwa toka mkoa mmoja kwenda mwingine na suala lake amelifikisha kwa watu wa hr na kwa kuelezea tatizo lake wa kina na anawaomba wampeleke sehemu ambayo itakuwa rahisi kwake kupata huduma pindi hali inapokuwa mbaya matokeo yake mtu mwenye cheo chake aliyelewa madaŕaka anamdhihaki kwa kumwambia kwamba nenda tu huko huko Mungu atakusaidia je huku si ni kucheza na afya ya mtumishi nna hapo hapo anatokea mwingine anamtusi. Je hii ni sawa kwa mtu aliyepewa dhamana ya kusimamia watumishi kutoa maneno ya kejeli? Na kama alihisi anadanganywa alichukua effort gani kuomba medìcal report ya huyo mtumishi?