Uozo Ofisi za Umma

Uozo Ofisi za Umma

luckypepeta

Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
25
Reaction score
8
Mtumishi ana tatizo la kiafya anahamishwa toka mkoa mmoja kwenda mwingine na suala lake amelifikisha kwa watu wa hr na kwa kuelezea tatizo lake wa kina na anawaomba wampeleke sehemu ambayo itakuwa rahisi kwake kupata huduma pindi hali inapokuwa mbaya matokeo yake mtu mwenye cheo chake aliyelewa madaŕaka anamdhihaki kwa kumwambia kwamba nenda tu huko huko Mungu atakusaidia je huku si ni kucheza na afya ya mtumishi nna hapo hapo anatokea mwingine anamtusi. Je hii ni sawa kwa mtu aliyepewa dhamana ya kusimamia watumishi kutoa maneno ya kejeli? Na kama alihisi anadanganywa alichukua effort gani kuomba medìcal report ya huyo mtumishi?
 
Uwahi kurudi na hizo clips na jina la hiyo taasisi ili tuchangie vizuri
 
Mkuu silali mpaka nione hizo clips, nasubscribe kwenye hii thread
 
Luckypepeta umekimbia uzi wako..unaleta tuhuma bila ushahidi,huo ni unafiki na wewe ni jipu
 
Back
Top Bottom