Uozo hospital ya cardinal rugambwa.

Uozo hospital ya cardinal rugambwa.

mkorofi

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
13
Reaction score
3
Ni Hospitali ya kanisa katoliki iliyopo mkoa wa Dar es salaam kata ya Ukonga, kitongoji cha mwembe madafu. Namna inavyoendeshwa sasa ni kinyume na taratibu za Kanisa na waanzilishi. Mpaka sasa Wafanyakazi hawajalipwa mshahara toka mwanzon mwa november 2013 mpaka leo tareh 09/01/2014.
 
Ina maana wamekula hata sadaka?
 
Back
Top Bottom