Ukienda NSSF makao makuu utakuta nafasi zile zote za kupewa ni watu wa aina fulani , yaani zile nafasi zote za kugawiwa mafano afisa mipongo,sijui mahusiano zile ambazo ni vyeo lakini hata mtu wa kidato cha nne anayejua lugha vizuri anaweza fanya wako watu wa aina moja ni vyeo vikubwa visivyohitaji elimu kubwa zaidi ya ngekewa ya kupendwa na wakubwa ili kuteuliwa.