Uongozi wa Kimataifa Prof. Muhongo awapigania

kidesheni

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
178
Reaction score
35
PROF MUHONGO AWAPIGANIA WATANZANIA KUPATA UONGOZI WA JUU KABISA WA KIMATAIFA: Injinia J. Joseph ameanza kazi ya Mkurugenzi Mkuu (MD) wa Rusumo Power Co Ltd, Kigali. Huu ni mradi wa umeme wa Tanzania, Rwanda na Burundi. Awali Tanzania ilitupwa nje lakini Prof Muhongo akahakikisha tunashinda. Injinia L Chengullah ni Secretary General wa Eastern Africa Power Pool, Addis Ababa. Juhudi hizi zinaendelea kuthibitisha uzalendo wa Prof Muhongo kwa nchi yetu.
 
Muhongo anafaa kuongoza nchi yetu Tz. Ana uzoefu mkubwa wa kuongoza ukizingatia amekuwa kiongozi mkuu ktk mashirika makubwa ya kimataifa kwa miaka mingi tena kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza. Hivyo aliyojifunza huko kwa wenzetu walioendelea anaweza kutusaidia na sisi kutoka hapa tulipo kwenda kwenye maendeleo kama wenzetu. Tuache siasa za kuchafuana ili tujikwamue kiuchumi.
 
Kweli mkuu kwa kasi ya maendeleo ya sasa Duniani tunahiji Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye uwezo mkubwa kimaarifa, kifikra, mzalendo, mwaminifu, mchapakazi na mbunifu. Prof. Muhongo uwezo huo anao kwa asilimia 100. Atafaa sana kuwa Raisi 2015-2025
 
yupo kwenye kambi ya magufuli atapata nafasi ya kulitumikia taifa hili tena.
 
Muhongo anafaa kuongoza nchi yetu Tz. Ana uzoefu mkubwa wa kuongoza ukizingatia amekuwa kiongozi mkuu ktk mashirika makubwa ya kimataifa kwa miaka mingi tena kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza. Hivyo aliyojifunza huko kwa wenzetu walioendelea anaweza kutusaidia na sisi kutoka hapa tulipo kwenda kwenye maendeleo kama wenzetu. Tuache siasa za kuchafuana ili tujikwamue kiuchumi.

kambi makini wanayoitaka watanzania
1, MGUFULI prez
2, Mwakyembe
3, Muhongo
4, Filipo lunjombe
5, mwigulu chemba
5, olesendeka
6, mwinyi
7, asha rozi
nawengine kapuni.

nawaona wakilivusha taifa letu, nawaona wakiiokoa ccm kuzama, nawaona wakiwanadi wabungu wa ccm kwa kishindo kwenye majukwa nawaona, nawaona wakifuta urafiki kwenye mambo ya msingi kazini,nawaona wakibadilisha taswira ya tanzania na watu wote kuchapa kazi misili ya wachina.

kAURI MBIU YA.
WIZI MWISHO ,UADIRIFU NA UCHAPAKAZI NO, 1.
 
Back
Top Bottom