Unachukulia wepesi kihivyo ukikaa chumbani mwako.Si hivyo.Maswala ya udini na ukabila, ukanda sio ya kuzingatia dunia ya leo muhimu uwezo na utayari wa kiongozi.
Ndiyo moja ya sababu?Kuweka nafsi ziburudike?Haina athari kiuongozi hapo mbeleni?Wacha wapunguze hasira zao…waliumbuliwa sana
Aya ya 2&3 za andiko lako zinajikana zenyewe (contradict). Upande mmoja unasema Nyerer alimkatalia kumsaidia kwa kusema kuwa akimsaidia ataonekana yeye ndiya ameunda Baraza (yaani la kwake), halfu hapo hapo tena unasema alimsaidi.... , sasa unataka tushike lipi ndugu?Wakati B W Mkapa anataka kuunda Baraza la Mawaziri alimfuata Mwl Nyerere na kumuuomba ushauri wa kumsaidia kuunda Baraza la Mawaziri.
Mwl Nyerere alimkatalia Late Mkapa kuunda Baraza la Mawaziri.Mwl alimwambia Mkapa Niki kusaidia maana yake hilo baraza litakuwa langu.
Mwl Nyerere alimsaidia Mkapa namna bora ya kuunda Baraza la Mawaziri.
Mosi lazima Baraza lizingatie maeneo mbali mbali ya Nchi.Kwa maana ni muhimu kutazama mikoa yote kuepuka Mawaziri kutoka sehemu moja na kuyaacha maeneo mengine ya nchi.Lazima baraza liwe na sura ya kitaifa.Leo hii Mkoa wa Pwani na Tanga wana Mawaziri 8.
Mwl Nyerere pia alimtaka Mzee Mkapa kuzingatia dini mbili kuu.
Chama mapinduzi kimemteua Lt Col Kinana kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti.Tukitazama safu za uongozi wa juu (Taifa) Mwenyekiti,Makamu wa Mwenyekiti Bara na Visiwani wote ni swala tano hakuna Mgalatia!.
Jambo hili limetokea kwa bahati mbaya au chama kimeamua kupuuza ushauri wa Mwl Nyerere.
Ngongo kwasasa Ukraine [emoji1255]
Usisahau na makatibu wa CCM wilaya na mikoa walioteuliwa na SamiaWakati B W Mkapa anataka kuunda Baraza la Mawaziri alimfuata Mwl Nyerere na kumuuomba ushauri wa kumsaidia kuunda Baraza la Mawaziri.
Mwl Nyerere alimkatalia Late Mkapa kuunda Baraza la Mawaziri.Mwl alimwambia Mkapa Niki kusaidia maana yake hilo baraza litakuwa langu.
Mwl Nyerere alimsaidia Mkapa namna bora ya kuunda Baraza la Mawaziri.
Mosi lazima Baraza lizingatie maeneo mbali mbali ya Nchi.Kwa maana ni muhimu kutazama mikoa yote kuepuka Mawaziri kutoka sehemu moja na kuyaacha maeneo mengine ya nchi.Lazima baraza liwe na sura ya kitaifa.Leo hii Mkoa wa Pwani na Tanga wana Mawaziri 8.
Mwl Nyerere pia alimtaka Mzee Mkapa kuzingatia dini mbili kuu.
Chama mapinduzi kimemteua Lt Col Kinana kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti.Tukitazama safu za uongozi wa juu (Taifa) Mwenyekiti,Makamu wa Mwenyekiti Bara na Visiwani wote ni swala tano hakuna Mgalatia!.
Jambo hili limetokea kwa bahati mbaya au chama kimeamua kupuuza ushauri wa Mwl Nyerere.
Ngongo kwasasa Ukraine 🇺🇦
Aya ya 2&3 za andiko lako zinajikana zenyewe (contradict). Upande mmoja unasema Nyerer alimkatalia kumsaidia kwa kusema kuwa akimsaidia ataonekana yeye ndiya ameunda Baraza (yaani la kwake), halfu hapo hapo tena unasema alimsaidi.... , sasa unataka tushike lipi ndugu?
[emoji848] 1. Alishauriwa nani?Kwahiyo Tanga na Pwani kutoa Mawaziri 8 si hoja.Vipi Mwl Nyerere alipomshauri Mkapa ushauri haikuwa muhimu !.
Umeelewa nilichouliza?Kuzingatia balance Mikoa.
Hakuna papara hapo. Labda kama ni papara inakuhusu wewe ulieleta uzi na kutaka kumpa mtu lawama kwa jambo ambalo halikuwa lake. Ushauri unasema alipewa Mkapa, Samia unamuhusu nini? Kwani vitu alivyoshauri Nyerer, awamu ya tan walifuata vyote? Hayo maswali yote yanamantiki kwa kuzingatia ulichoandika, acha kurukarukaSoma bandiko vizuri acha papara.
Hakuna papara hapo. Labda kama ni papara inakuhusu wewe ulieleta uzi na kutaka kumpa mtu lawama kwa jambo ambalo halikuwa lake. Ushauri unasema alipewa Mkapa, Samia unamuhusu nini? Kwani vitu alivyoshauri Nyerer, awamu ya tan walifuata vyote? Hayo maswali yote yanamantiki kwa kuzingatia ulichoandika, acha kurukaruka
Chadema hali ikoje?Wakati B W Mkapa anataka kuunda Baraza la Mawaziri alimfuata Mwl Nyerere na kumuuomba ushauri wa kumsaidia kuunda Baraza la Mawaziri.